Tuesday 2nd, March 2021
@Ukumbi mdogo Halmashauri
Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Kyela Ndugu Ezekiel H. Magehema ameendesha kikao baina ya watendaji, waganga wafawidhi wa zahanati na vituo vya afya, wenyeviti wa kamati za afya za vijiji, na watendaji wa kata.
Katika kikao hicho Mkurugenzi Mtendaji ameweza kutoa zawadi ya cheti kwa zahanati zilizofanya vuzuri katika ukaguzi wa dawa.
Bomani Street
Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela
Simu ya Mezani: 025-2540035/7
Simu ya Mkononi: 0756944794
Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa