Haya yamezungumzwa na wanakamati, katika kikao cha kamati ya mapokezi ya mwenge, kilichofanyika tarehe 21/03/2018.Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi mkubwa wa Halmashauri ,kikiongozwa na mwenyekiti wa kamati hiyo ambaye ni mkuu wa wilaya ya kyela Mh.Cloudia .U. Kitta . Kamati imesema ili kuendana kasi ya ukuzaji wa viwanda nchini, Wilaya ya Kyela inatarajia kufungua na kuzindua miradi nane kati ya miradi mingi inayotekelezwa katika Wilaya yetu. Miradi inayotarajiwa kufunguliwa ni moja ya chachu ya maendelea kwa wilaya ya kyela na taifa kwa ujumla. baadhi ya miradi inayotarajiwa kuzinduliwa na kufunguliwa ni pamoja ya miradi ya ;
Bomani Street
Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela
Simu ya Mezani: 025-2540035/7
Simu ya Mkononi: 0713655466
Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa