• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kyela District Council
Kyela District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Fedha
      • Huduma za Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Biashara na Viwanda
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi
      • TEHAMA
  • Fursa Za uwekezaji
    • Vivutio vya Utali
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, uongozi na mipango
      • Ukimwi
      • Uchumi, ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
      • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamirika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Hatua
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Kyela Ambassadors Watoa Vifaa Vya Shilingi 177,000/= Kusaidia Mapambano Dhidi Ya Virusi Vya Corona

Imewekwa Kwenye: April 27th, 2020

katikati ni Katibu tawala wa wilaya ya Kyela (shati jekundu) kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Kyela (suti) na anaemfuata ni kiongozi wa Kyela ambassadors.

Kiongozi wa Kyela Ambassadors ndugu Aliko Mwaseba, ameongozana na wanachama wa kikundi hicho hadi katika ofisi za Halmashauri ya wilaya ya Kyela, leo tarehe 27/04/2020, kwa lengo la kutosha baadhi ya vifaa vitakavyowasaidia wananchi kujikinga na virusi vya corona (COVID-19).

Vifaa hivyo vilivyotolewa ni pamoja na majaba ya maji 6 na sabuni (sanitizer), Akizungumza wakati wa kukaabidhi vifaa hivyo, ndugu Aliko Mwaseba amesema wao kama kikundi wameamua kuiunga mkono serikali ya awamu ya tano dhidi ya kupambana na ugonjwa huu, ugonjwa huu umekuwa ni tishio kwa nchi yetu na hata kwa dunia nzima, hivyo wao kama kikundi wameguswa na janga hili hata kufikia maamuzi ya kuchanga na kununua vifaa hivyo vichache ili kuwasaidia wananchi hapa wilayani Kyela. 

Akipokea vifaa hivyo kwa niaba ya Mkuu wa wilaya ya Kyela, Mhe. Katibu Tawala ndugu Godfrey Kawacha ametoa shukrani zake za dhati kwa kikundi hicho na aliwataka wajumbe wa kikundi hicho kuendelea na moyo huo wa kujitolea, na kwa kufanya hayo watabarikiwa zaidi katika shughuli zao. 

Pia aliwataka kuongezeka ili kuwa wengi zaidi katika kikundi chao kwa malengo ya kuweza kuwafikia wananchi wengi kwa shughuli wazifanyazo. Mwisho alisema, Wanakyela watawaona hamko nyuma katika kuunga mkono jitahida ya kupigana na ugonjwa huu mbaya. 

Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Kyela ndugu Ezekiel Magehema ametoa shukrani zake kwa kikundi hicho , kisha akasema:
Kundi hili likawe ni walimu wa kutoa elimu juu ya taratibu ambazo zinatumika pale mgonjwa anapojitokeza katika jamii, yaani kumpleka mgonjwa mwenye dalili za corona  katika kituo cha kutolea huduma za afya kwa haraka. 

Pia aliwataka kuzingatia taratibu zote ambazo zimewekwa za  kujizuia na virusi vya corona, Na kuzingatia ushauri uliotolewa na Mhe. Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Joseph Pombe Magufuli kwa kufanya tendo la kujifukiza kwani Corona ni vita.

Matangazo

  • ORODHA YA ASASI ZILIZOPATA KIBALI CHA UANGALIZI WA UBORESHAJI WA DAFTARI MWAKA 2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • KYELA YAFANIKISHA UNUNUZI WA GARI JIPYA AINA YA TOYOTA HILUX KUPITIA MAPATO YA NDANI KWA TSH. MILLIONI 149.1

    June 30, 2025
  • KYELA YAFANIKISHA UNUNUZI WA GARI JIPYA AINA YA TOYOTA HILUX KUPITIA MAPATO YA NDANI KWA TSH. MILLIONI 149.1

    June 30, 2025
  • KYELA YAFANIKISHA UNUNUZI WA GARI JIPYA AINA YA TOYOTA HILUX KUPITIA MAPATO YA NDANI KWA TSH. MILLIONI 149.1

    June 30, 2025
  • KYELA YAFANIKISHA UNUNUZI WA GARI JIPYA AINA YA TOYOTA HILUX KUPITIA MAPATO YA NDANI KWA TSH. MILLIONI

    June 30, 2025
  • Angalia Zote

Video

Tume ya Uchaguzi
Video Zingine

Viungo Vya Haraka

  • Mbeya Region Website

Viunganishi Linganifu

  • Public Service Management
  • President's Office Regional Administration & Local Government - PORALG
  • Public Service Recruitment Secretariat - (PSRS)
  • KYELA DISTRICT
  • KYELA DISTRICT COUNCIL

Idadi ya wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

wasiliana nasi

    Bomani Street

    Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela

    Simu ya Mezani: 025-2540035/7

    Simu ya Mkononi: 0713655466

    Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa