• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kyela District Council
Kyela District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Fedha
      • Huduma za Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Biashara na Viwanda
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi
      • TEHAMA
  • Fursa Za uwekezaji
    • Vivutio vya Utali
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, uongozi na mipango
      • Ukimwi
      • Uchumi, ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
      • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamirika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Hatua
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Kyela Yafanya Maombolezo Kwaajili Ya Mpendwa Wetu John Joseph Pombe Magufuli.

Imewekwa Kwenye: March 25th, 2021

Halmashauri ya wilaya ya kyela imefanya maombolezo Kwaajili ya aliyekuwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania hayati Dkt.John Pombe Magufuli; Maombolezo hayo yamefanyika tarehe 24/3/2021, uwanja wa mwakangale uliopo katika wilaya ya kyela. Maombolezo hayo yamehudhuliwa na wananchi, taasisi za kiserikali na binafsi  huku mkuu wa wilaya ya kyela akiwa ni mgeni rasmi wa maombolezo hayo.

Akizungumza mkuu wa wilaya ya kyela Claudia Kitta, amesema kuwa kifo cha Dkt. John Pombe Magufuli kimetuletea simanzi kubwa sio kwa Tanzania tu na dunia nzima maana alikuwa ni Rais wa wanyonge, mpenda haki lakini pia mcha Mungu ambaye alitenda kazi zake kwa kumwogopa Mungu.

Licha ya hayo aliongeza kwa kusema kuwa hayati John Magufuli amegusa sekta zote zikiwemo elimu bila malipo, ujenzi wa vituo vya afya, hospitali mbali mbali nchini, ujenzi wa viwanja vya ndege na ununuzi wa ndege, miundombinu kila Kona zikiwemo barabara, meli katika maziwa yetu na bahari, na kyela tukiwa miongoni mwa watu walionufaika kwa kupatiwa meli ndani ya ziwa nyasa na kuifikisha Tanzania katika maendeleo ya juu.

Aidha, mwenyekiti wa halmashauri ya kyela ndugu Kature Godfrey Kingamkono alipewa nafasi ya kuzungumza kwenye maombolezo hayo, naye alisema kuwa John Pombe Magufuli alipenda kuamini Mungu, lakini pia kazi pamoja na ukweli na alimalizia kwa kuwataka wananchi wa kyela waendelee kumuenzi hayati John Pombe Magufuli kwa kuwa ameacha alama kubwa ya utendaji kazi wake katika taifa letu. 

Mwisho, wananchi  waliendelea kama ilivo kuwa kawaida kusaini katika kitabu cha maombolezo kilicho kuwa kimewekwa ndani ya uwanja wa mwakangale kwa siku hiyo.

Matangazo

  • Kikao Cha Balaza La Waheshimiwa Madiwani Kesho Tarehe 02/03/2021 March 01, 2021
  • Matokeo Kidato Cha Nne 2020 January 21, 2021
  • Orodha Ya Majina Ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Na Kidato Cha Tano Na Vyuo Vya Kati 2020 June 17, 2020
  • Orodha Ya Majina Ya Walioteuliwa Kuwa Wasimamizi Na Makarani Waongozaji Katika Uchaguzi Mkuu October 28th 2020 October 19, 2020
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Hakuna Mtendaji Yeyote Atakaeonewa Kwa kipindi Cha Uongozi Wangu-Katule Kingamkono

    April 14, 2021
  • Kyela Yafanya Maombolezo Kwaajili Ya Mpendwa Wetu John Joseph Pombe Magufuli.

    March 25, 2021
  • Tuilinde Miradi Inayotekelezwa Na Serikali-Albert Chalamila

    February 25, 2021
  • Sherehe Za Maazimisho Ya Kuzaliwa Kwa Chama Cha Mapinduzi Mkoa Wa Mbeya Zafanyika Wilayani Kyela

    February 05, 2021
  • Angalia Zote

Video

Mkuu wa wilaya katika Balaza la Madiwani
Video Zingine

Viungo Vya Haraka

  • Mbeya Region Website

Viunganishi Linganifu

  • Public Service Management
  • President's Office Regional Administration & Local Government - PORALG
  • Public Service Recruitment Secretariat - (PSRS)
  • KYELA DISTRICT
  • KYELA DISTRICT COUNCIL

Idadi ya wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

wasiliana nasi

    Bomani Street

    Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela

    Simu ya Mezani: 025-2540035/7

    Simu ya Mkononi: 0756944794

    Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa