Haya yamezungumzwa na mwakilishi kutoka OR-TAMISEMI, ndugu Lutufyo Z. Ng'umbi, alipokuwa akitoa shukrani zake kwa watumishi pamoja na wafanyabiashara sekta binafsi walioudhulia kikao cha mapitio ya kupima mazingira ya biashara (LGACI) kilichofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya wilaya ya Kyela tarehe 16/09/2019.
Aidha ndugu Litufyo amewataka wataalam wa serikali kuzingatia mafunzo ya mifumo mbalimbali, ili kuweza kuwasaidia wananchi, pamoja na kuliletea taifa letu maendeleo chanya.
Wataalam kutoka Chuo Cha Hombolo pamoja na ndugu Mdaba Suleman kutoka Asasi ya ENGINE, walikuwa ni miongoni mwa wajumbe waliokuwa wakitoa mafunzo ya jinsi ya kundaa na kutumia mfumo wa maandalizi ya taarifa ya biashara na wafanyabiashara (baseline) kwa ujumla wao.
Bomani Street
Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela
Simu ya Mezani: 025-2540035/7
Simu ya Mkononi: 0713655466
Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa