Imewekwa Kwenye: June 13th, 2023
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Homera ameziagiza halmashauri zote mkoani hapa kutoa elimu kwa madiwani kuhusiana na mfumo mpya wa ukusanyaji mapato (Tausi) ili kudhibiti upotevu wa mapato wa halmasha...
Imewekwa Kwenye: June 6th, 2023
Maadhimisho ya siku ya mazingira yafanyika wilayani Kyela tarehe 05/06/2923 kwa upandaji wa miti katika shule ya msingi Sama.
Maadhimisho hayo yamehudhuriwa na viongozi wa NEMC kanda za juu kus...
Imewekwa Kwenye: June 3rd, 2023
Uongozi wa bandari wilayani Kyela umekabidhi vifaa vya afya kwa Mheshimiwa Mkuu wa wilaya tarehe 02/06/2023, vifaa vilivyokabidhiwa ni pamoja na meza 15, vitanda 15, magodoro 15 na kufanya thamani...