ORGANIZATION STRUCTURE
A. Vitengo vilivyopo
B. Mazao yanayozalishwa
Mazao ya biashara: kokoa korosho na michikichi
Mazao ya chakula: Mpunga, Mahindi, Ndizi, Mihogo, viazi vitamu, Maharage, Mbaazi,njugu mawe.
Matunda: Embe, Chungwa, Nanasi, Tikiti maji,
C. Miundombinu ya kilimo
Mashine za kusindika mazao za vikundi na jamii:
Mpunga: Kikusya na Mbako
Michikichi: Ipinda, Mabunga na Lugombo
D.Wadau mbalimbali wa kilimo
Bomani Street
Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela
Simu ya Mezani: 025-2540035/7
Simu ya Mkononi: 0713655466
Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa