*TAARIFA MUHIMU*
HALMASHAURI YA WILAYA YA KYELA IMEAHIRISHA MAFUNZO YA SENSA, MAFUNZO HAYO YATAFANYIKA KWA SIKU 19 KUANZIA TAREHE 31 JULAI 2022 HADI 18 AGOSTI 2022. UKIPATA TAARIFA HII MJULISHE NA MWENZAKO.
Bomani Street
Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela
Simu ya Mezani: 025-2540035/7
Simu ya Mkononi: 0713655466
Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa