Idara ya Afya Kyela ikiongozwa na Mganga Mkuu ndugu Mariam Ngwere wameamua kuwakabidhi mifuko ya sukari kwa watumishi 22 wapya wa afya, ikiwa ni sehemu ya kuwaonyesha watumishi hao kuwa, halmashauri ya wilaya ya kyela ni wakarimu na wao ni sehemu yetu, na tunawakaribisha kwa mikono miwili.
Watumishi hao amekabidhiwa leo tarehe 06/08/2021, kwa kupitia ofisi ya Mkurugenzi mtendaji ndugu Ezekiel Magehema.
Mwisho alisema anaamini watumishi hawa watafanya kazi kwa bidii na kutoa huduma bora kwa wananchi.
Bomani Street
Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela
Simu ya Mezani: 025-2540035/7
Simu ya Mkononi: 0713655466
Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa