• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kyela District Council
Kyela District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Fedha
      • Huduma za Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Biashara na Viwanda
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi
      • TEHAMA
  • Fursa Za uwekezaji
    • Vivutio vya Utali
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, uongozi na mipango
      • Ukimwi
      • Uchumi, ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
      • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamirika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Hatua
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Bandari Watoa Msaada Wa Vifaa Vya Afya Vyenye Thamani Ya Shilingi Milioni 33.47

Imewekwa Kwenye: June 3rd, 2023

Uongozi wa bandari wilayani Kyela umekabidhi vifaa vya afya kwa Mheshimiwa Mkuu wa wilaya tarehe 02/06/2023, vifaa vilivyokabidhiwa ni pamoja na meza 15, vitanda 15, magodoro 15 na kufanya thamani ya shilingi milioni 33.47.

Akizungumza kabla ya kukabidhiwa misaada hiyo, Mkuu wa wilaya ya Kyela Mhe. Josephine K. Manase amesema,

Anapenda kutoa shukrani kwa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuikumbuka wilaya ya Kyela na kuwasogezea karibu huduma za afya wananchi, ambapo miradi mingi ya Afya imeendelea kutekelezwa, ikiwemo ujenzi wa zahanati na vituo vya afya.

Hivyo ametoa pongezi nyingi kwa uongozi wa bandari kwa kumuunga mkono Mhe. Rais kwa kutoa misaada ambayo inaenda kuwasaidia wa Tanzania.

"Viongozi wa bandari mmeona jitihada za kuwasogezea huduma za afya wananchi, kazi inayofanywa na Mhe. Rais. Dkt . Samia Suluhu Hassan ndio maana mmeamua kumuunga mkono Mhe.Rais niwapongeze kwa hilo" amesema Mhe. Manase.

Aidha amewaomba viongozi wa bandari kuendelea kushirikiana na serikali katika kukamilisha miradi  tunayoitekeleza, ikiwemo mradi mkubwa wa jengo la mama na mtoto katika hospitali ya wilaya.

Awali meneja wa bandari wilayani Kyela ndugu Manga Gassaya amesema, lengo kubwa la kutoa msaada huu ni kuunga mkono jitihada za serikali katika kuwasaidia wananchi, pamoja na kutimiza takwa la kisheria la kurudisha fadhira kwa wananchi kwa huduma wanazozitoa "CSR".

Nae Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Kyela Ndugu Ezekiel H. Magehema, ametoa shukrani zake za dhati kwa Mheshimiwa Rais. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwani pamoja na kutoa fedha nyingi zinazotekeleza miradi hapa wilayani ususani katika idara ya afya, pia kwa sasa kuna mpango wa kufanya ukarabati wa Hospitali ya wilaya ya Kyela.

Matangazo

  • ORODHA YA ASASI ZILIZOPATA KIBALI CHA UANGALIZI WA UBORESHAJI WA DAFTARI MWAKA 2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • WAUGUZI WILAYANI KYELA WAADHIMISHA SIKU YA WAUGUZI DUNIANI KATIKA HOSPITALI YA MATEMA

    May 16, 2025
  • KAMATI YA UCHUMI, UJENZI NA MAZINGIRA YAFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO INAYOTEKELEZWA WILAYANI KYELA

    May 15, 2025
  • KAMATI YA SIASA MKOA YAPONGEZA UTEKELEZWAJI MZURI WA MIRADI YA MAENDELEO WILAYANI KYELA

    May 14, 2025
  • WALIMU WAKUU,WALIMU WA MANUNUZI, WAKUU WA SHULE,WATENDAJI WA KATA NA WA VIJIJI WAPIGWA MSASA MFUMO WA MANUNUZI (NEST)

    April 24, 2025
  • Angalia Zote

Video

Tume ya Uchaguzi
Video Zingine

Viungo Vya Haraka

  • Mbeya Region Website

Viunganishi Linganifu

  • Public Service Management
  • President's Office Regional Administration & Local Government - PORALG
  • Public Service Recruitment Secretariat - (PSRS)
  • KYELA DISTRICT
  • KYELA DISTRICT COUNCIL

Idadi ya wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

wasiliana nasi

    Bomani Street

    Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela

    Simu ya Mezani: 025-2540035/7

    Simu ya Mkononi: 0713655466

    Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa