• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kyela District Council
Kyela District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Fedha
      • Huduma za Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Biashara na Viwanda
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi
      • TEHAMA
  • Fursa Za uwekezaji
    • Vivutio vya Utali
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, uongozi na mipango
      • Ukimwi
      • Uchumi, ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
      • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamirika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Hatua
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

BARAZA LA MADIWANI LAPOKEA KWA SHANGWE TAARIFA YA MHE. DC KUHUSU BIMA YA AFYA KWA WOTE NAKUAHIDI KWENDA KUTOA ELIMU KWA WANANCHI

Imewekwa Kwenye: February 9th, 2026

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela Mkoani Mbeya Mhe.Tobiath Mwamkonda ameongoza mkutano wa Baraza tarehe 9.2.2026 katika ukumbi wa mikutano

Akizungumza kwenye mkutano huo Mhe.Mwenyekiti amempongeza Mkurugenzi Mtendaji na ofisi yake kwa ujumla kwa usimamizi mzuri wa fedha zinazoletwa na Serikali ya awamu ya sita kwa ajili utekelezaji mbalimbali wa miradi ya maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Kyela.

Mhe.Mwenyekiti amempongeza Mkurugenzi kwa kufikisha 61% za ukusanyaji mapato ndani ya robo ya pili.

Awali Mkuu wa Wilaya ya Kyela Mhe.Josephine Manase amewataka madiwani kutembelea na kukagua miradi  inayotekelezwa kwenye kata zao ili kujua changamoto na namna huduma zinavyotolewa.

Mhe.Manase ameongeza kwa kuwataka  madiwani wahamasishe Wazazi kupeleka watoto shule pamoja na kutoa elimu kwa Wazazi hao juu ya umuhimu wa kuchangia chakula ili watoto wapate chakula pindi wawapo shuleni.

Aidha Mkuu wa Wilaya amewataka madiwani kutoa elimu kwa Wananchi juu ya umuhimu wa kujiunga na mfuko wa bima kwa wote,huduma hiyo inatolewa kwa TSH.150,000/= kwa kaya moja yenye watu 6.Bima hiyo itasaidia kupata matibabu  wakati  wowote kwa haraka.

Matangazo

  • ORODHA YA ASASI ZILIZOPATA KIBALI CHA UANGALIZI WA UBORESHAJI WA DAFTARI MWAKA 2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • DC MANASE AZINDUA RASMI ZOEZI LA UGAWAJI WA KADI ZA BIMA YA AFYA KWA WOTE KWA KAYA ZISIZO NA UWEZO (ZINAZOHUDUMIWA NA MPANGO WA TASAF)

    February 09, 2026
  • BARAZA LA MADIWANI LAPOKEA KWA SHANGWE TAARIFA YA MHE. DC KUHUSU BIMA YA AFYA KWA WOTE NAKUAHIDI KWENDA KUTOA ELIMU KWA WANANCHI

    February 09, 2026
  • MILIONI 570 ZATOLEWA KWA VIKUNDI VYA VIJANA, WANAWAKE PAMOJA NA WATU WENYE ULEMAVU

    January 07, 2026
  • MKURUGENZI MTENDAJI KYELA ADV. FLORAH A. LUHALA AWATAKA WATUMISHI WAPYA 50 KULINDA NIDHAMU YA KAZI NA KUHUDUMIA WANANCHI

    December 05, 2025
  • Angalia Zote

Video

Tume ya Uchaguzi
Video Zingine

Viungo Vya Haraka

  • Mbeya Region Website

Viunganishi Linganifu

  • Public Service Management
  • President's Office Regional Administration & Local Government - PORALG
  • Public Service Recruitment Secretariat - (PSRS)
  • KYELA DISTRICT
  • KYELA DISTRICT COUNCIL

Idadi ya wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

wasiliana nasi

    Bomani Street

    Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela

    Simu ya Mezani: 025-2540035/7

    Simu ya Mkononi: 0713655466

    Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa