Halmashauri ya wilaya ya Kyela tunaendelea kutoa shukrani zetu za dhati kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan pamoja na Serikali yake ya awamu ya sita, kwa kutupatia fedha ya kujenga Nyumba ya Watumishi (2 in 1) iliyojengwa kupitia Mradi wa SEQUIP kwa Gharama ya Sh.100,000,000.
Nyumba hii imejengwa katika kata ya Bondeni na itahudumia walimu wa shule mpya ya sekondari Bondeni A
Pia itasaidia walimu kuishi karibu na shule ili kupata muda mrefu wa kuwahudumia wanafunzi hasa katika kutoa elimu bora.
Asante Mama tupo tayari kuitumikia nchi yetu ya Tanzania.
Bomani Street
Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela
Simu ya Mezani: 025-2540035/7
Simu ya Mkononi: 0713655466
Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa