Askari wa kikosi cha FFU, cha Mkoa wa Mbeya wakishangilia makabidhiano ya Mwenge wetu wa Uhuru katika Mkoa wa Iringa Jana tarehe 23/05/2018(picha na Fredy P. Kabutu)
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya akiukabidhi ramsi Mwenge wa Uhuru Mkoani Iringa tukio hili lilifanyika tarehe 23/05/2018.
Mkuu wa Wilaya ya Kyela Mhe. Claudia U. Kitta akiuaga Mwenge wa Uhuru katika Viwanja vya Sadani Mafinga Iringa.
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela Mhe. Hunter Mwakifuna akimshika mkono mmoja wa wakimbiza Mwenge wa uhuru kitaifa ikiwa ni ishara ya kuuwaaga makamanda hawa baada ya kumaliza mbio za Mwenge Mkoa Mbeya.
Bomani Street
Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela
Simu ya Mezani: 025-2540035/7
Simu ya Mkononi: 0713655466
Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa