Mkuu wa Wilaya Me. Claudia U. Kitta (kushoto) akiwa na Waziri wa ujenzi na Mawasiliano (kulia) punde alipokuwa katika ziara zake Wilayani Kyela tarehe 6 julai 2018.
lengo kuu la ziara yake ni kutembekea maeneo ya usafirishaji Kyela na kujua changamoto zake punde anapoanza kazi katika wizara hii mpya kwake.
Waziri wa ujenzi na mawasiliano akisaini kitabu cha wageni boda Kyela.
Bomani Street
Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela
Simu ya Mezani: 025-2540035/7
Simu ya Mkononi: 0713655466
Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa