• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kyela District Council
Kyela District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Fedha
      • Huduma za Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Biashara na Viwanda
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi
      • TEHAMA
  • Fursa Za uwekezaji
    • Vivutio vya Utali
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, uongozi na mipango
      • Ukimwi
      • Uchumi, ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
      • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamirika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Hatua
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Halmashauri Ya Wilaya Ya Kyela Imetenga Shilingi 403,000,000/= Kwa Ajiri Ya Ujenzi Wa Kituo Cha Afya Katika Kata Ya Ngonga

Imewekwa Kwenye: September 20th, 2021


Halmashauri ya wilaya ya Kyela imetenga kiasi cha shilingi 403,000,000/= ikiwa ni mapato yake ya ndani kwa ajiri ya ujenzi wa kituo cha Afya katika kata ya Ngonga hapa wilayani Kyela.

Haya yamezungumzwa leo tarehe 20/09/2021 na Mkuu wa wilaya ya Kyela, mheshimiwa Ismail Mlawa alipokuwa akizindua ujenzi wa kituo hicho cha afya mara baada ya kushiriki katika kufanya kazi ya uchambji wa msingi, kusogeza tofali pamoja na kusomba mchanga. Shughuli ambazo zimefanywa na wananchi, viongozi pamoja na wakuu wa idara mbalimbali na vitengo kutoka halmashauri ya wilaya.

Aidha Mkuu wa wilaya huyo, amewatia moyo wananchi kuzidi kujitoa katika maendeleo ya mradi huo, ikiwa ni pamoja na kuzidi kuchangia nguvu kazi pamoja na fedha, ambapo amewaahidi kwamba atasimamia fedha zote zitakazotolewa na Serikali pamoja na wananchi, ili kuhakikisha hakuna shilingi itakayoibiwa katika ujenzi huo. Aidha amesema  atachangia shilingi 500,000/=. Na pesa hiyo itawekwa katika akaunti mapema kesho tarahe 21/09/2021.

Pia alimuagiza Kaimu Mkurugenzi ndugu Kenneth Nzilano kuleta trekta la halmashauri, ili kusaidia shughuli za kusogeza mchanga na tofali eneo la ujenzi.

Aidha katika hafla hiyo, Mbunge wa jimbo la Kyela Mheshimiwa Ally Mlaghila Jumbe, amewaahidi wananchi hao kuwanao bega kwa bega katika kusaidiana kazi za ujenzi wa kituo hicho cha Afya hadi kitakapokamilika, na amesema atachangia mifuko 200 ya simenti katika ujenzi huo.

Pongezi nyingi zilitolewa kwa wakuu wote wa Idara na vitengo waliojitokeza katika kusaidia uhamasishaji wa ujenzi wa kituo cha Afya Ngonga, kwa kujitolea kuchimba msingi wa moja ya jengo linaloanza kujengwa kwa sasa.

Hadi sasa wananchi wamechangia shilingi 18,000,000/= tofali 120,000 zenye thamani ya shillingi 12,000,000/= pamoja na nguvu kazi.

Matangazo

  • ORODHA YA ASASI ZILIZOPATA KIBALI CHA UANGALIZI WA UBORESHAJI WA DAFTARI MWAKA 2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • WAUGUZI WILAYANI KYELA WAADHIMISHA SIKU YA WAUGUZI DUNIANI KATIKA HOSPITALI YA MATEMA

    May 16, 2025
  • KAMATI YA UCHUMI, UJENZI NA MAZINGIRA YAFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO INAYOTEKELEZWA WILAYANI KYELA

    May 15, 2025
  • KAMATI YA SIASA MKOA YAPONGEZA UTEKELEZWAJI MZURI WA MIRADI YA MAENDELEO WILAYANI KYELA

    May 14, 2025
  • WALIMU WAKUU,WALIMU WA MANUNUZI, WAKUU WA SHULE,WATENDAJI WA KATA NA WA VIJIJI WAPIGWA MSASA MFUMO WA MANUNUZI (NEST)

    April 24, 2025
  • Angalia Zote

Video

Tume ya Uchaguzi
Video Zingine

Viungo Vya Haraka

  • Mbeya Region Website

Viunganishi Linganifu

  • Public Service Management
  • President's Office Regional Administration & Local Government - PORALG
  • Public Service Recruitment Secretariat - (PSRS)
  • KYELA DISTRICT
  • KYELA DISTRICT COUNCIL

Idadi ya wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

wasiliana nasi

    Bomani Street

    Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela

    Simu ya Mezani: 025-2540035/7

    Simu ya Mkononi: 0713655466

    Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa