• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kyela District Council
Kyela District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Fedha
      • Huduma za Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Biashara na Viwanda
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi
      • TEHAMA
  • Fursa Za uwekezaji
    • Vivutio vya Utali
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, uongozi na mipango
      • Ukimwi
      • Uchumi, ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
      • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamirika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Hatua
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Kaimu Mtendaji Mkuu Wa Mamlaka Ya Mji Mdogo Wa Kyela Apongezwa Kwa Kuongeza Nguvu Ya Ukusanyaji Wa Mapato

Imewekwa Kwenye: June 5th, 2021

Mwenyekiti wa Baraza la mji mdogo wa Kyela Mhe. Emmanuel A. Bongo amempongeza Kaimu Mtendaji Mkuu wa Mji Mdogo wa Mamlaka Kyela ndugu Gerald Mlelwa, kwa jitihada zake za ukusanyaji wa mapato tangu ameanza kukaimu nafasi hiyo. Pongezi hizo zimetolewa katika kikao cha baraza la Mamlaka ya mji mdogo Kyela lililofanyika tarehe 04/06/2021 katika ukumbi wa mamlaka hiyo hapa wilayani Kyela.

Pamoja na pongezi hizo Mheshimiwa mwenyekiti wa Baraza hilo aliendelea kwa kusema kwamba, kwasasa mamalaka imejipanga katika ununuzi wa Trekta litakalosaidia katika shughuli za uzoaji wa takataka mitaani, ili kuongeza jitihada za kuufanya mji wa Kyela kuwa msafi.

Pia amesema anafurahishwa na umoja uliopo baina ya ofisi ya Mheshimiwa Mbunge, ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Kyela, Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Kyela pamoja na uongozi mzima wa Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Kyela ndugu Ezekiel H. Magehema. Kwani wamekuwa mstari wa mbele katika kuisaidia mamlaka ya mji mdogo wa Kyela kusonga mbele kimaendeleo.

Aidha Mheshimiwa Emmanuel Bongo ametumia nafasi hiyo kuwaonya baadhi ya wenyeviti wa vitongoji, wanaojisahau kufanya kazi ili kuwatumikia wananchi na kuanza kuleta vurugu, kwa manufaa ya kujiandalia mazingira ya kuja kugombea nafasi za udawani. Amesema wakati huu ni wakati wa kufanya kazi tulizoomba ili kuwahudumia wananchi na kuwaletea maendeleo yao. Pia amewataka wenyeviti hao kwenda kutoa elimu ya ukusanyaji wa ushuru kwa wananchi wao na kuifanya kazi hiyo kuwa nyepesi na mafanikio makubwa kwa mamlaka.

Hata hivyo Kaimu Mtendaji Mkuu wa mamlaka ya mji mdogo Kyela ndugu Gerald Mlelwa, amezipokea kwa furaha pongezi hizo, na kusema kama ushirikiano baina na viongozi utaendelea hivi, basi atazidi kumuomba Mungu ili amzidishie nguvu ya ukusanyaji wa mapato na kuifanya mamlaka hiyo kuwa juu kimapato ukilinganisha na wakati uliopita. 

Mwisho Mheshimiwa mwenyekiti alimuomba Kaimu Mtendaji wa mamlaka ya mji mdogo wa Kyela, kulipa madeni yote ya mwaka 20/21 ili katika mwaka wa fedha 21/22 kusiwe na madeni ya nyuma katika mamlaka hiyo .

Matangazo

  • ORODHA YA ASASI ZILIZOPATA KIBALI CHA UANGALIZI WA UBORESHAJI WA DAFTARI MWAKA 2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • WAUGUZI WILAYANI KYELA WAADHIMISHA SIKU YA WAUGUZI DUNIANI KATIKA HOSPITALI YA MATEMA

    May 16, 2025
  • KAMATI YA UCHUMI, UJENZI NA MAZINGIRA YAFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO INAYOTEKELEZWA WILAYANI KYELA

    May 15, 2025
  • KAMATI YA SIASA MKOA YAPONGEZA UTEKELEZWAJI MZURI WA MIRADI YA MAENDELEO WILAYANI KYELA

    May 14, 2025
  • WALIMU WAKUU,WALIMU WA MANUNUZI, WAKUU WA SHULE,WATENDAJI WA KATA NA WA VIJIJI WAPIGWA MSASA MFUMO WA MANUNUZI (NEST)

    April 24, 2025
  • Angalia Zote

Video

Tume ya Uchaguzi
Video Zingine

Viungo Vya Haraka

  • Mbeya Region Website

Viunganishi Linganifu

  • Public Service Management
  • President's Office Regional Administration & Local Government - PORALG
  • Public Service Recruitment Secretariat - (PSRS)
  • KYELA DISTRICT
  • KYELA DISTRICT COUNCIL

Idadi ya wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

wasiliana nasi

    Bomani Street

    Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela

    Simu ya Mezani: 025-2540035/7

    Simu ya Mkononi: 0713655466

    Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa