• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kyela District Council
Kyela District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Fedha
      • Huduma za Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Biashara na Viwanda
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi
      • TEHAMA
  • Fursa Za uwekezaji
    • Vivutio vya Utali
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, uongozi na mipango
      • Ukimwi
      • Uchumi, ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
      • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamirika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Hatua
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Kamati Ya Fedha Uongozi Na Mipango Yatembelea Na Kukagua Miradi Ya Maendeleo

Imewekwa Kwenye: August 11th, 2023


Waheshimiwa Madiwani wilaya ya Kyela wametembelea na kukagua miradi ya maendeleo, ikiwa ni utekelezaji wa ziara za kutembelea na kukagua miradi kwa kipindi cha robo ya nne kwa mwaka wa fedha 2022/2023.

Ziara hiyo imefanyika tarehe 10/08/2023, ikijumuisha Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji ndugu, Gasper Mwanandeje akiwa na wataalamu kutoka Idara mbalimbali za Halmashauri.

Waheshimiwa Madiwani na wataalamu wametembelea Mradi wa uzalishaji wa miche bora ya michikichi katika ofisi za halmashauri kata ya Bondeni wenye gharama ya shilingi 16,594,000, mradi wa ujenzi wa zahanati katika kata ya Ndandalo wenye thamani ya shilingi 155,000,000, Ujenzi wa shule Mpya kata ya Njisi yenye thamani ya shilingi 538,500,000, Ujenzi wa mradi wa maji Lema wenye thamani ya shilingi 415,439,846.22 pamoja na mradi wa ujenzi wa daraja katika kata ya Mababu wenye thamani ya shilingi 161,657,445.

Miradi yote iliyotembelewa, kukaguliwa na kamati ya Fedha Uongozi na Mipango, imeridhiwa na waheshimiwa madiwani ikiwa ni pamoja na kutoa pongezi zao za dhati kwa Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kuleta fedha nyingi zinazotekeleza miradi mbalimbali katika wilaya ya Kyela.

Aidha waheshimiwa madiwani wametoa maagizo ikiwemo agizo la umaliziaji wa miradi ya maendeleo kwa muda uliyopangwa.

Hayo yote yamepokelewa na timu nzima ya wataalamu wa halmashauri pamoja na Taasisi  za serikali wakiongozwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji ndugu Gasper Mwanandeje.

Ziara za kutembelea na kukagua miradi ya maendeleo kwa robo ya nne 2022/2023, umekamilika.

Matangazo

  • ORODHA YA ASASI ZILIZOPATA KIBALI CHA UANGALIZI WA UBORESHAJI WA DAFTARI MWAKA 2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • WAUGUZI WILAYANI KYELA WAADHIMISHA SIKU YA WAUGUZI DUNIANI KATIKA HOSPITALI YA MATEMA

    May 16, 2025
  • KAMATI YA UCHUMI, UJENZI NA MAZINGIRA YAFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO INAYOTEKELEZWA WILAYANI KYELA

    May 15, 2025
  • KAMATI YA SIASA MKOA YAPONGEZA UTEKELEZWAJI MZURI WA MIRADI YA MAENDELEO WILAYANI KYELA

    May 14, 2025
  • WALIMU WAKUU,WALIMU WA MANUNUZI, WAKUU WA SHULE,WATENDAJI WA KATA NA WA VIJIJI WAPIGWA MSASA MFUMO WA MANUNUZI (NEST)

    April 24, 2025
  • Angalia Zote

Video

Tume ya Uchaguzi
Video Zingine

Viungo Vya Haraka

  • Mbeya Region Website

Viunganishi Linganifu

  • Public Service Management
  • President's Office Regional Administration & Local Government - PORALG
  • Public Service Recruitment Secretariat - (PSRS)
  • KYELA DISTRICT
  • KYELA DISTRICT COUNCIL

Idadi ya wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

wasiliana nasi

    Bomani Street

    Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela

    Simu ya Mezani: 025-2540035/7

    Simu ya Mkononi: 0713655466

    Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa