• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kyela District Council
Kyela District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Fedha
      • Huduma za Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Biashara na Viwanda
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi
      • TEHAMA
  • Fursa Za uwekezaji
    • Vivutio vya Utali
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, uongozi na mipango
      • Ukimwi
      • Uchumi, ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
      • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamirika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Hatua
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Kamati Ya Kudumu Ya Bunge Ya Hesabu Za Serikali Za Mitaa Yaridhishwa Na Usimamizi Na Utekelezaji Mzuri Wa Miradi Ya Maendeleo Kyela

Imewekwa Kwenye: March 26th, 2022

Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za mitaa (LACC),imeridhishwa na usimamizi pamoja na utekelezaji mzuri wa miradi ya maendeleo katika wilaya ya Kyela.

Kamati imeridhishwa na miradi yote waliyoitembelea katika ziara yao ya tarehe 25/04/2022 na kupokea taarifa ya miradi hiyo. Miradi iliyotembelewa ni pamoja na mradi wa kituo cha afya Ipinda na mradi wa ujenzi wa wodi ya mama na mtoto katika hospitali ya wilaya ya Kyela.

Kaimu mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali Mheshimiwa Boniface Butondo amesema, amefurahishwa sana na umoja uliopo baina ya viongozi wa wilaya, na hata kusababisha usimamizi na utekelezaji mzuri wa miradi ya maendeleo katika wilaya ya Kyela.

Aidha Mheshimiwa Butondo alitoa baadhi ya ushauri na maagizo kwa viongozi ikiwemo, uwekaji wa uzio kuzunguka kituo cha afya Ipinda, ukarabati wa baadhi ya majengo katika hospitali ya wilaya ya Kyela, ukarabati wa jengo la wodi la wanaume katika kituo cha afya Ipinda. Ila aliwaomba TAMISEMI kusaidia fedha za ukarabati huo.

"Naomba niwashauri kuweka gata za maji ili kuvuna maji ya mvua pamoja na kulinda kuta za majengo zisichafuliwe na maji ya mvua" alisema mhe. Butondo.

Mwisho Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Kyela Mhe. Katule G. Kingamkono, alisema wamepokea maagizo yote na ushauri uliyotolewa na kamati na kuahidi kuanza kuyashughulikia utekelezaji wake kwa haraka. Mheshimiwa mwenyekiti aliyazungumza haya wakati akihojiwa na waandishi wa habari.

Matangazo

  • ORODHA YA ASASI ZILIZOPATA KIBALI CHA UANGALIZI WA UBORESHAJI WA DAFTARI MWAKA 2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • MWENYEKITI WA MAMLAKA YA MJI MDOGO AONGOZA MCHAKATO WAKUMPATA MAKAMU MWENYEKITI WA MAMLAKA YA MJI MDOGO NA WENYEVITI WA KAMATI ZA KUDUMU

    October 01, 2025
  • MKURUGENZI MTENDAJI ADV. FLORAH A. LUHALA AONGOZA KIKAO CHA TATHMINI YA MAPATO YA HALMASHAURI KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025

    September 30, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA KYELA, MHE. JOSEPHINE MANASE, AMEKABIDHI HUNDI YA MFANO YENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI MIA SITA HAMSINI NA TATU LAKI SITA (653,600,000/=) KWA VIKUNDI 70 VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU

    September 22, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA KYELA AFUNGA MAONESHO YA KUSINI INTERNATIONAL TRADE FAIR AND FESTIVAL YA MWAKA 2025

    September 22, 2025
  • Angalia Zote

Video

Tume ya Uchaguzi
Video Zingine

Viungo Vya Haraka

  • Mbeya Region Website

Viunganishi Linganifu

  • Public Service Management
  • President's Office Regional Administration & Local Government - PORALG
  • Public Service Recruitment Secretariat - (PSRS)
  • KYELA DISTRICT
  • KYELA DISTRICT COUNCIL

Idadi ya wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

wasiliana nasi

    Bomani Street

    Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela

    Simu ya Mezani: 025-2540035/7

    Simu ya Mkononi: 0713655466

    Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa