• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kyela District Council
Kyela District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Fedha
      • Huduma za Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Biashara na Viwanda
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi
      • TEHAMA
  • Fursa Za uwekezaji
    • Vivutio vya Utali
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, uongozi na mipango
      • Ukimwi
      • Uchumi, ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
      • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamirika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Hatua
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Kamati Ya Masuala Ya UKIMWI Kifua Kikuu Dawa Za Kulevya Na Magonjwa Yasiyopewa Kipaumbele Yafanya Ziara Wilayani Kyela.

Imewekwa Kwenye: September 23rd, 2021

Kamati ya Bunge ya masuala ya UKIMWI, kifua kikuu, dawa za kulevya na magonjwa yasiyopewa kipaumbele yafanya ziara wilayani Kyela tarehe 21/09/2021. 

Akizungumza kwa niaba ya waheshimiwa Wabunge wengine Mwenyekiti wa kamati hiyo Mheshimiwa Fatma Hassan Taofiq amesema kwamba, wameamua kuja kutembelea mkoa wa Mbeya hususani wilaya ya Kyela ili kuja kufahamu ni kwa jinsi gani mkoa wa Mbeya na Wilaya zake wanasimamia zoezi la kuzuia maambukizi ya virusi vya UKIMWI.        

 Aidha, Mheshimiwa Mwenyekiti amewaagiza viongozi wote hapa wilayani Kyela kutoa elimu juu ya maambukizi mapya ya ugonjwa wa UKIMWI. Kwani takwimu zinaonesha kuwa, wilaya ya Kyela maambukizi yanazidi kupanda kwa kasi zaidi ukilinganisha hali ilivyo kwa nchi nzima. Pia aliwataka viongozi na waratibu, kutengeneza kampeni mbalimbali za kuzuia maambukizi mapya ya virusi vya UKIMWI, Pia aliwasihi kutoa elimu juu ya tohara kwa wanaume kwani imethibitika kwamba kwa 60% tohara kwa wanaume hupunguza maambukizi ya virusi vya UKIMWI. 

Kamati ya Bunge ya UKIMWI, kifua kikuu, dawa za kulevya na magonjwa yasiyopewa kipaumbele iliweza kutembelea Hospitali ya wilaya ya Kyela na kituo cha afya Ipinda na kuzungumza na wataalamu wa afya kwa lengo la kufahamu shughuli hizi zinavyoratibiwa hapa wilayani Kyela.

Shughuli zote za UKIMWI zinafadhiliwa na HJF Medical Reseach International kupitia mradi wa Walter Reed Program Tanzania kwa mikoa ya Mbeya, Songwe, Rukwa na Katavi.

Matangazo

  • ORODHA YA ASASI ZILIZOPATA KIBALI CHA UANGALIZI WA UBORESHAJI WA DAFTARI MWAKA 2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • WAUGUZI WILAYANI KYELA WAADHIMISHA SIKU YA WAUGUZI DUNIANI KATIKA HOSPITALI YA MATEMA

    May 16, 2025
  • KAMATI YA UCHUMI, UJENZI NA MAZINGIRA YAFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO INAYOTEKELEZWA WILAYANI KYELA

    May 15, 2025
  • KAMATI YA SIASA MKOA YAPONGEZA UTEKELEZWAJI MZURI WA MIRADI YA MAENDELEO WILAYANI KYELA

    May 14, 2025
  • WALIMU WAKUU,WALIMU WA MANUNUZI, WAKUU WA SHULE,WATENDAJI WA KATA NA WA VIJIJI WAPIGWA MSASA MFUMO WA MANUNUZI (NEST)

    April 24, 2025
  • Angalia Zote

Video

Tume ya Uchaguzi
Video Zingine

Viungo Vya Haraka

  • Mbeya Region Website

Viunganishi Linganifu

  • Public Service Management
  • President's Office Regional Administration & Local Government - PORALG
  • Public Service Recruitment Secretariat - (PSRS)
  • KYELA DISTRICT
  • KYELA DISTRICT COUNCIL

Idadi ya wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

wasiliana nasi

    Bomani Street

    Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela

    Simu ya Mezani: 025-2540035/7

    Simu ya Mkononi: 0713655466

    Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa