• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kyela District Council
Kyela District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Fedha
      • Huduma za Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Biashara na Viwanda
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi
      • TEHAMA
  • Fursa Za uwekezaji
    • Vivutio vya Utali
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, uongozi na mipango
      • Ukimwi
      • Uchumi, ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
      • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamirika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Hatua
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Kamati Ya Siasa Ya Mkoa Wa Mbeya Yafanya Ziara Ya Kukagua Miradi Ya Maendeleo Wilayani Kyela

Imewekwa Kwenye: February 17th, 2022

Kamati ya siasa ya Mkoa ikiwa inamsikiliza eng.Mohamed A.Muanda kutoka TARURA, ambae ni mtaalam wa ujenzi wa barabara.

Kamati ya siasa ya mkoa wa Mbeya imefanya ziara ya kutembelea na kukagua miradi ya maendeleo hapa wilayani Kyela. Ziara hii imefanyika tarehe 16/02/2022.

Miradi iliyotembelewa ni pamoja na mradi wa ujenzi wa barabara za rami Kyela mjini, ujenzi wa wodi ya mama na mtoto katika hospitali ya wilaya ya Kyela, ujenzi wa kituo cha afya katika kata ya Itunge kituo kinachojengwa kwa fedha za tozo, pamoja na ujenzi wa kituo cha afya Ngonga kituo kinachojengwa kwa fedha za mapato ya ndani ya halmashauri.

Kituo cha Afya itunge umaliziaji wa ujenzi wa kituo hiki unaendelea.

Akizungumza kwa niaba ya wanakamati wenzake, Mwenyekiti wa kamati ya siasa Mkoa wa Mbeya, Mheshimiwa Jacob Mwakasole amesema;

Kamati ya siasa imefika wilayani Kyela kutembelea na kukagua miradi ya maendeleo, hii ikiwa ni katika kutekekeza Ilani ya Chama Cha Mapinduzi Chama kinachoisimamia serikali.

Aidha Mheshimiwa mwenyekiti alisema, kazi yao ni kushauri na kusema kama kunamapungufu yoyote katika kusimamia na kutekeleza miradi ya maendeleo yote inayoanzishwa kwa ajiri ya kutatua kero kwa wananchi.

Ujenzi wa Wodi ya mama na mtoto bado unaendelea.

Diwani wa kata ya Itunge Mheshimiwa Nickson Mwalukama, nae aliweza kutumia nafasi hiyo kuipongeza serikali kwa kuwaona wananchi wa kata ya  Itunge hadi kuamua kuwaletea fedha zinazijenga kituo hicho cha afya. Pia alitoa pongezi kwa viongozi wa wilaya pamoja na wataalam wa wilaya ya Kyela, kwa kujitoa usiku na mchana katika kusimamia ujenzi wa kituo hicho cha afya.

Mwisho kamati ya siasa Mkoa wa mbeya ilikagua na kuridhishwa pia kuipokea miradi yote iliyokaguliwa katika wilaya ya Kyela na kutoa pongezi zao za dhati, kwa usimamizi mzuri wa miradi hiyo.

Matangazo

  • ORODHA YA ASASI ZILIZOPATA KIBALI CHA UANGALIZI WA UBORESHAJI WA DAFTARI MWAKA 2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • WATAALAM WA AFYA KUTOKA MALAWI WAFANYA KIKAO NA WATAALAM WA AFYA KUTOKA KYELA KUJADILI NAMNA YA KUPAMBANA NA MAGONJWA YA MLIPUKO

    July 02, 2025
  • BIDHAA FEKI ZILIZOINGIA KWA NJIA HARAMU ZATEKETEZWA KWA MOTO

    July 01, 2025
  • KYELA YAFANIKISHA UNUNUZI WA GARI JIPYA AINA YA TOYOTA HILUX KUPITIA MAPATO YA NDANI KWA TSH. MILLIONI 149.1

    June 30, 2025
  • SERIKALI YAWAPUNGUZIA WANANCHI ADHA YA ELIMU KWA KUJENGA SHULE KARIBU YAO

    June 27, 2025
  • Angalia Zote

Video

Tume ya Uchaguzi
Video Zingine

Viungo Vya Haraka

  • Mbeya Region Website

Viunganishi Linganifu

  • Public Service Management
  • President's Office Regional Administration & Local Government - PORALG
  • Public Service Recruitment Secretariat - (PSRS)
  • KYELA DISTRICT
  • KYELA DISTRICT COUNCIL

Idadi ya wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

wasiliana nasi

    Bomani Street

    Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela

    Simu ya Mezani: 025-2540035/7

    Simu ya Mkononi: 0713655466

    Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa