• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kyela District Council
Kyela District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Fedha
      • Huduma za Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Biashara na Viwanda
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi
      • TEHAMA
  • Fursa Za uwekezaji
    • Vivutio vya Utali
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, uongozi na mipango
      • Ukimwi
      • Uchumi, ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
      • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamirika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Hatua
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Kamati Ya Siasa Ya Wilaya Ya Kyela Yatembelea Na Kukagua Miradi Ya Maendeleo

Imewekwa Kwenye: July 4th, 2022

Kamati ya Siasa ya wilaya ya Kyela, ikiongozwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi wilaya Mheshimiwa Patrick Mwampeta, imetembelea na kukagua miradi ya maendelo hapa wilayani Kyela, ikiwa ni ziara ya kawaida kwa robo ya kwanza mwaka 2022/2023.

Miradi iliyotembelewa ni pamoja na mradi wa meli ya abiria katika ziwa Nysa, ujenzi wa vyumba 2 vya madarasa katika shule ya msingi Ipyana, ujenzi wa shule ya sekondari Bondeni, ujenzi wa wodi ya mama na mtoto katika eneo la hospitali ya wilaya, duka la wanawake ambao wamenufaika na mkopo wa kuwawezeza wanawake, vijana pamoja na watu wenye ulemavu.

Miradi mingine iliyotembelewa ni pamoja na mradi wa ujenzi wa zahanati katika kata ya Ndandalo, mradi wa maji mjini (Mbambo), mradi wa maji vijiji (Sinyanga group).

Aidha katika ziara hiyo wajumbe wa kamati ya siasa waliweza kutembea wanufaika wa mradi wa TASAF kwa lengo la kujua maendeleo yao mara baada ya kunufaika na mradi huo, Hata hivyo viongozi hao hawakusita kutoa pongezi kwa Rais wa awamu ya Sita Mheshimiwa Suluhu Hassan, kwa kuwaona wananchi wa Kyela na hata kuwaletea miradi mingi ya maendeleo katika wilaya ya Kyela.

Pamoja na kutoa maelekezo kwa wataalam kwa baadhi ya miradi kukamilishwa kwa wakati, kamati hiyo ililidhia miradi yote ya maendeleo waliyoitembelea.

Matangazo

  • ORODHA YA ASASI ZILIZOPATA KIBALI CHA UANGALIZI WA UBORESHAJI WA DAFTARI MWAKA 2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • WAUGUZI WILAYANI KYELA WAADHIMISHA SIKU YA WAUGUZI DUNIANI KATIKA HOSPITALI YA MATEMA

    May 16, 2025
  • KAMATI YA UCHUMI, UJENZI NA MAZINGIRA YAFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO INAYOTEKELEZWA WILAYANI KYELA

    May 15, 2025
  • KAMATI YA SIASA MKOA YAPONGEZA UTEKELEZWAJI MZURI WA MIRADI YA MAENDELEO WILAYANI KYELA

    May 14, 2025
  • WALIMU WAKUU,WALIMU WA MANUNUZI, WAKUU WA SHULE,WATENDAJI WA KATA NA WA VIJIJI WAPIGWA MSASA MFUMO WA MANUNUZI (NEST)

    April 24, 2025
  • Angalia Zote

Video

Tume ya Uchaguzi
Video Zingine

Viungo Vya Haraka

  • Mbeya Region Website

Viunganishi Linganifu

  • Public Service Management
  • President's Office Regional Administration & Local Government - PORALG
  • Public Service Recruitment Secretariat - (PSRS)
  • KYELA DISTRICT
  • KYELA DISTRICT COUNCIL

Idadi ya wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

wasiliana nasi

    Bomani Street

    Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela

    Simu ya Mezani: 025-2540035/7

    Simu ya Mkononi: 0713655466

    Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa