• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kyela District Council
Kyela District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Fedha
      • Huduma za Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Biashara na Viwanda
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi
      • TEHAMA
  • Fursa Za uwekezaji
    • Vivutio vya Utali
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, uongozi na mipango
      • Ukimwi
      • Uchumi, ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
      • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamirika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Hatua
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Kiengo Cha Manunuzi Cha Pongezwa Kwa Kutumia Mfumo Wa NeST

Imewekwa Kwenye: August 28th, 2024

Mwenge wa uhuru umewasili leo na kukabidhiwa kwa  Mkuu wa wilaya ya Kyela Mhe. Josephine Manase katika viwanja vya shule ya sekondari (KCM) ukitokea Halmshauri ya wilaya ya Rungwe tarehe 28/8/2024.

Mapokezi hayo yameambatana na vikundi mbalimbali vya burudani ikiwemo vijana wa hamasa wilaya ya Kyela, vikundi vya ngoma za asili pamoja na vikundi vya muziki.

Wakizindua mradi wa Barabara kata Mwanganyanga kiongozi wa mbio za mwenge ameipongeza kitengo cha Manunuzi, kwa kutumia mfumo wa manunuzi  NeST kwani wamekua msatari wa mbele kuutumia na kuunganishwa na  wazabuni mbalimbali ili kufanya manunuzi ya kiserikali.

Vilevile katika uzinduzi wa klabu ya kupinga rushwa katika shule ya sekondari Kyela, kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru 2024, amewakabidhi  Mwenge wa Uhuru kwa mwanafunzi wenye ulemavu na kugawa vifaa vya kujifunzia, pamoja na vifaa vya michezo kutoka katika ofisi ya Mhe. Mkuu wa wilaya ya Kyela.

Pamoja na hayo Ndugu Mnzava, amempongeza Mkuu wa wilaya ya Kyela Mhe. Josephine manase kwa kuwatunza na kuwashirikisha katika kazi za mikono kama kilimo cha bustani na kuwaweka katika mazingira bora ya kusomea.

Aidha kwa wanafunzi amesisitiza kujikinga na ugonjwa hatari wa malaria unaopelekea idadidi kubwa ya vifo pamoja na kuwataka wananchi kukataa na kupinga vitendo vya rushwa ili kuleta haki katika maisha.

Matangazo

  • ORODHA YA ASASI ZILIZOPATA KIBALI CHA UANGALIZI WA UBORESHAJI WA DAFTARI MWAKA 2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • WAUGUZI WILAYANI KYELA WAADHIMISHA SIKU YA WAUGUZI DUNIANI KATIKA HOSPITALI YA MATEMA

    May 16, 2025
  • KAMATI YA UCHUMI, UJENZI NA MAZINGIRA YAFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO INAYOTEKELEZWA WILAYANI KYELA

    May 15, 2025
  • KAMATI YA SIASA MKOA YAPONGEZA UTEKELEZWAJI MZURI WA MIRADI YA MAENDELEO WILAYANI KYELA

    May 14, 2025
  • WALIMU WAKUU,WALIMU WA MANUNUZI, WAKUU WA SHULE,WATENDAJI WA KATA NA WA VIJIJI WAPIGWA MSASA MFUMO WA MANUNUZI (NEST)

    April 24, 2025
  • Angalia Zote

Video

Tume ya Uchaguzi
Video Zingine

Viungo Vya Haraka

  • Mbeya Region Website

Viunganishi Linganifu

  • Public Service Management
  • President's Office Regional Administration & Local Government - PORALG
  • Public Service Recruitment Secretariat - (PSRS)
  • KYELA DISTRICT
  • KYELA DISTRICT COUNCIL

Idadi ya wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

wasiliana nasi

    Bomani Street

    Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela

    Simu ya Mezani: 025-2540035/7

    Simu ya Mkononi: 0713655466

    Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa