Kikao cha kamati ya lishe wilaya, ambacho kinahusisha wataalamu mbalimbali ngazi ya wilaya, na wadau mbalimbali wa lishe, kimefanyika leo tarehe 31/07/2024, ili kubaini changamoto mbalimbali zilizojitokeza, katika utekelezaji wa mkataba wa lishe katika ngazi za kata na kuzitafutia muarobaini.
Moja ya mkakati uliowekwa ni uundwaji wa sheria ndogo ngazi ya wilaya ambazo zitawezesha utoaji wa chakula mashuleni kuwa wa uhakika.
Bomani Street
Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela
Simu ya Mezani: 025-2540035/7
Simu ya Mkononi: 0713655466
Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa