Hakika Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Kyela ni kiongozi wa mfano wa kuigwa. Haya yamejidhihirisha wazi pale Mheshimiwa Mwenyekiti Katule Kingamkono alipotembelea maegesho ya magari ya mizigo yaliyopo Lubele siku ya jumapali tarehe 22/08/2021 kayika kata ya Ikimba.
Aidha katika kuzungumza na vijana maafisa wapakuaji na wapakiaji na kusikiliza changamoto zao, nae alitumia muda wake katika kuwasaidi vijana hao kupakuwa mizigo katika maegesho hayo, ambapo ni kitendo cha kuigwa hata kwa viongozi wengine.
Bomani Street
Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela
Simu ya Mezani: 025-2540035/7
Simu ya Mkononi: 0713655466
Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa