• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kyela District Council
Kyela District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Fedha
      • Huduma za Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Biashara na Viwanda
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi
      • TEHAMA
  • Fursa Za uwekezaji
    • Vivutio vya Utali
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, uongozi na mipango
      • Ukimwi
      • Uchumi, ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
      • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamirika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Hatua
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Kyela Yaadhimisha Siku Ya Mashujaa Kwa Kufanya Usafi Wa Mazingira

Imewekwa Kwenye: July 24th, 2023

Mkuu wa wilaya ya Kyela Mhe. Josephine K. Manase akifanya usafi katika eneo ambalo shule mpya ya wasichana ya Mkoa inajengwa, kata ya Busale, ikiwa ni maazimisho ya siku ya mashujaa kiwilaya.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Kyela Bi. Florah A. Luhala akiwa anafanya usafi wa mazingira na baadhi ya watumishi.

Viongozi, watumishi, kamati ya ulinzi na usalama (W) wakishirikiana na wananchi wamefanya usafi wa mazingira katika maeneo ya kata ya Ikimba, Njisi, Busale pamoja na Ipinda, ikiwa ni sehemu mojawapo ya kuadhimisha siku ya Mashujaa, inayo adhimishwa tarehe 25/07/ kila mwaka. Maadhimisho kiwilaya yamefanyika tarehe 24/07/2023.

Mkuu wa wilaya ya Kyela Mhe. Josephine Manase akiwa ameambatana na Katibu tawala (W) ndugu Sabrina Hamoud Ruhwey, Mkurugenzi Mtendaji Ndugu Frolar A. Luhala, wameshirikiana na wananchi katika kusafisha eneo ambalo shule mpya ya wasichana ya Mkoa inapojengwa.

Katibu tawala (W), Bi. Sabrina Hamoud Ruhwey akiwa katika zoezi la usafi wa mazingira kata ya Busale, eneo ambapo shule mpya ya wasichana ya Mkoa inajengwa.

Akizungumza na baadhi ya wananchi wa kata ya Busale, waliojitokeza kushiriki suala la usafi wa mazingira katika eneo la ujenzi wa shule mpya, Mhe. Mkuu wa wilaya amesema;

Katika kuwaenzi Mashujaa, ni vema wananchi tukatambua mchango wa mashujaa wetu kwa kudumisha amani na upendo tulionao katika nchi yetu, Kama walivyofanya mashujaa wote tunaowaenzi siku ya leo.

Hata hivyo Mheshimiwa Mkuu wa wilaya amewapongeza wananchi wa kata ya Busale kwa kuwa na mwitikio mkubwa katika kujitoa katika shughuli za maendeleo.

Amewataka wananchi wa Kyela kuendelea kumuombea na kumshukuru Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kutuletea shilingi bilioni 3, ambazo zinakwenda kujenga shule mpya. Amesema fedha zipo na vifaa vimeshaanza kufikishwa eneo la mradi.

Pamoja na hayo amewataka wananchi wa kata ya Busale kuwa walinzi wa mali na vifaa vyote vya mradi ili kuukamilisha mradi kwa wakati.

Pongezi kwa wananchi wa wilaya ya Kyela kwa kujizokeza kwa wingi katika maeneo mbalimbali na kushiriki maadhimisho ya siku ya mashujaa kwa kufanya usafi wa mazingira.

Watumishi na wananchi wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumaliza zoezi la usafi kata ya Ipinda.

Matangazo

  • ORODHA YA ASASI ZILIZOPATA KIBALI CHA UANGALIZI WA UBORESHAJI WA DAFTARI MWAKA 2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • WAUGUZI WILAYANI KYELA WAADHIMISHA SIKU YA WAUGUZI DUNIANI KATIKA HOSPITALI YA MATEMA

    May 16, 2025
  • KAMATI YA UCHUMI, UJENZI NA MAZINGIRA YAFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO INAYOTEKELEZWA WILAYANI KYELA

    May 15, 2025
  • KAMATI YA SIASA MKOA YAPONGEZA UTEKELEZWAJI MZURI WA MIRADI YA MAENDELEO WILAYANI KYELA

    May 14, 2025
  • WALIMU WAKUU,WALIMU WA MANUNUZI, WAKUU WA SHULE,WATENDAJI WA KATA NA WA VIJIJI WAPIGWA MSASA MFUMO WA MANUNUZI (NEST)

    April 24, 2025
  • Angalia Zote

Video

Tume ya Uchaguzi
Video Zingine

Viungo Vya Haraka

  • Mbeya Region Website

Viunganishi Linganifu

  • Public Service Management
  • President's Office Regional Administration & Local Government - PORALG
  • Public Service Recruitment Secretariat - (PSRS)
  • KYELA DISTRICT
  • KYELA DISTRICT COUNCIL

Idadi ya wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

wasiliana nasi

    Bomani Street

    Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela

    Simu ya Mezani: 025-2540035/7

    Simu ya Mkononi: 0713655466

    Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa