• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kyela District Council
Kyela District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Fedha
      • Huduma za Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Biashara na Viwanda
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi
      • TEHAMA
  • Fursa Za uwekezaji
    • Vivutio vya Utali
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, uongozi na mipango
      • Ukimwi
      • Uchumi, ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
      • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamirika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Hatua
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Kyela Yaandaa Mpango Mkakati Kwa Mwaka 2019-2024

Imewekwa Kwenye: July 10th, 2019

Wadau wa maendeleo Kyela, wakishirikiana na watalaam kutoka asasi ya Engine, kampuni ya Menlod pamoja na waheshimiwa Madiwani, wamefanya kikao maalumu ili kupitia mpango kazi wa Halmashauri ya wilaya ya Kyela, jana tarehe 09/07/2019. Kikao hicho kilifanyika katika ukumbi wa Halmashauri yetu.

Akizungumza wakati wa kufungua kikao hicho, mwenyekiti wa kikao ambae ni Mkuu wa wilaya ya Kyela, Mhe. Claudia U. Kitta amesema;

Kikao hiki ni maalumu kwa kutoa ushauri na maoni juu ya uboreshaji wa mkakati wa Halmashauri yetu. Hivyo kila mdau awe huru kutoa nawazo yake ili kuboresha mpango huu. 

Mpango huu una lengo la kuweka sawa maswala ya kilimo, ufugaji, mpango wa matumizi bora ya ardhi, miundo mbinu, haki za kijinsia pamoja na kutuonesha njia ya kufikia uchumi wa kati. 

Aidha katibu wa CCM wilaya ndugu Deogratius Nyanda amesema, pamoja na kutoa maoni ya uboreshaji wa mpango mkakati huu, ila amewataka wananchi wa wilaya ya Kyela, kutembelea ofisi za CCM,  pale wanapokuwa na matatizo, milango ipo wazi masaa yote, lengo ni kusikiliza kero za wananchi. 

Nae Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Kyela Mhe. Hunter Mwakifuna amewatoa hofu wananchi na kusema mpango mkakati huu umeandaliwa kwa kufuata taratibu na sheria zote za nchi, hivyo wadau watoe maoni yao bila hofu au wasiwasi yoyote. 

Imetokewa na :

Mkurugenzi Mtendaji 

Ofisi Ya Habari Na Mawasiliano 

Kyela. 

Matangazo

  • ORODHA YA ASASI ZILIZOPATA KIBALI CHA UANGALIZI WA UBORESHAJI WA DAFTARI MWAKA 2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • WAUGUZI WILAYANI KYELA WAADHIMISHA SIKU YA WAUGUZI DUNIANI KATIKA HOSPITALI YA MATEMA

    May 16, 2025
  • KAMATI YA UCHUMI, UJENZI NA MAZINGIRA YAFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO INAYOTEKELEZWA WILAYANI KYELA

    May 15, 2025
  • KAMATI YA SIASA MKOA YAPONGEZA UTEKELEZWAJI MZURI WA MIRADI YA MAENDELEO WILAYANI KYELA

    May 14, 2025
  • WALIMU WAKUU,WALIMU WA MANUNUZI, WAKUU WA SHULE,WATENDAJI WA KATA NA WA VIJIJI WAPIGWA MSASA MFUMO WA MANUNUZI (NEST)

    April 24, 2025
  • Angalia Zote

Video

Tume ya Uchaguzi
Video Zingine

Viungo Vya Haraka

  • Mbeya Region Website

Viunganishi Linganifu

  • Public Service Management
  • President's Office Regional Administration & Local Government - PORALG
  • Public Service Recruitment Secretariat - (PSRS)
  • KYELA DISTRICT
  • KYELA DISTRICT COUNCIL

Idadi ya wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

wasiliana nasi

    Bomani Street

    Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela

    Simu ya Mezani: 025-2540035/7

    Simu ya Mkononi: 0713655466

    Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa