Mafunzo ya waratibu wa NTDs yaani waratibu wa magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele, yanafanyika leo tarehe 16/11/2022 katika ukumbi wa CMO Kyela, Magonjwa hayo ni kama, Matende na mabusha, minyoo ya tumbo na Usubi, Mafunzo haya yanafanyika ili kijiandaa kwenda kutoa dawa ya kinga tiba kwa wanafunzi wa shule za msingi.
Bomani Street
Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela
Simu ya Mezani: 025-2540035/7
Simu ya Mkononi: 0713655466
Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa