• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kyela District Council
Kyela District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Fedha
      • Huduma za Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Biashara na Viwanda
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi
      • TEHAMA
  • Fursa Za uwekezaji
    • Vivutio vya Utali
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, uongozi na mipango
      • Ukimwi
      • Uchumi, ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
      • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamirika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Hatua
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Mashuka 30 Yagawiwa Katika Kituo Cha Afya Itunge

Imewekwa Kwenye: August 2nd, 2024

Mbunge wa viti maalumu kupitia Chama Tawala ( CCM), mkoa wa Mbeya  Mhe. Hobokela Fyandomo amefanya zoezi la ugawaji wa mashuka 30, katika kituo cha afya cha Itunge kata ya Itunge tarehe 01/8/2024.

Mhe. Hobokela Fyandomo amesema, mashuka hayo yatasaidia wagonjwa watakaopata  huduma ya kupumzishwa kwa mda katika kituo cha Itunge.

Waheshimiwa Madiwani kwa umoja wao, wamemshukuru Mhe. Mbunge viti maalumu mkoa wa Mbeya, kwa kugawa mashuka, yanayokwenda kuwasaidia wagonjwa watakaokuwa wakipata huduma katika mazingira safi na salama.

Kwa upande wake kaimu Mkurugenzi mtendaji wilaya ya Kyela, Ndugu Rowllens Kabuje amemshkuru Mhe. Mbunge viti maalumu  mkoa wa Mbeya kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa msaada wa mashuka hayo  yatakayotumika kwa wagonjwa  wengi wanaokuja kupata huduma za matibabu katika kituo hicho.

Matangazo

  • ORODHA YA ASASI ZILIZOPATA KIBALI CHA UANGALIZI WA UBORESHAJI WA DAFTARI MWAKA 2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • MKUU WA WILAYA YA KYELA AENDELEA NA ZIARA YA KUSIKILIZA NA KUZIPATIA UFUMBUZI KERO MBALIMBALI ZINAZOWAKABILI WANANCHI

    July 14, 2025
  • WANANCHI WA KIJIJI CHA ISANGA WAPATA FARAJA KWA KUUNGWA MKONO NA MHE. DC MANASE KWA UANZISHWAJI WA UJENZI WA ZAHANATI

    July 12, 2025
  • TSH. MILLIONI TANO (5) KUTOKA MFUKO WA ZAO LA KAKAO KUSAIDIA UANZISHWAJI WA UJENZI WA SHULE MPYA YA MSINGI KIJIJI CHA MPEGERE KATA YA MAKWALE

    July 10, 2025
  • WATAALAM WA AFYA KUTOKA MALAWI WAFANYA KIKAO NA WATAALAM WA AFYA KUTOKA KYELA KUJADILI NAMNA YA KUPAMBANA NA MAGONJWA YA MLIPUKO

    July 02, 2025
  • Angalia Zote

Video

Tume ya Uchaguzi
Video Zingine

Viungo Vya Haraka

  • Mbeya Region Website

Viunganishi Linganifu

  • Public Service Management
  • President's Office Regional Administration & Local Government - PORALG
  • Public Service Recruitment Secretariat - (PSRS)
  • KYELA DISTRICT
  • KYELA DISTRICT COUNCIL

Idadi ya wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

wasiliana nasi

    Bomani Street

    Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela

    Simu ya Mezani: 025-2540035/7

    Simu ya Mkononi: 0713655466

    Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa