• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kyela District Council
Kyela District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Fedha
      • Huduma za Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Biashara na Viwanda
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi
      • TEHAMA
  • Fursa Za uwekezaji
    • Vivutio vya Utali
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, uongozi na mipango
      • Ukimwi
      • Uchumi, ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
      • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamirika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Hatua
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MHE. RIDHIWANI KIKWETE AIKABIDHI HALMASHAURI YA WILAYA YA KYELA TUZO YA MSHINDI WA TATU KITAIFA KWA MATUMIZI SAHIHI YA MIFUMO YA MAMLAKA YA SERIKALI MTANDAO (eGA)

Imewekwa Kwenye: February 19th, 2026

Halmashauri ya Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya imeibuka mshindi wa tatu kitaifa katika kipengele cha matumizi ya TEHAMA kwa kushirikisha wananchi, katika Kikao Kazi cha Sita cha Serikali Mtandao (eGA). Kikao hicho kilifanyika kuanzia tarehe 17 hadi 19 Februari 2026 katika ukumbi wa kimataifa wa Arusha International Conference Centre jijini Arusha, ambapo mgeni rasmi wa ufunguzi alikuwa Moses Kusiluka, Katibu Mkuu Kiongozi.

Tuzo hiyo ilitolewa na Mhe. Ridhiwani Kikwete, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, ambaye alikuwa mgeni rasmi katika hafla ya kufunga kikao hicho tarehe 19 Februari 2026. Kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela, tuzo hiyo ilipokelewa na Afisa TEHAMA wilaya ya Kyela, Ndg. Bwigane Amlike.

Kikao kazi hicho kilikuwa na kauli mbiu isemayo: “Kubadili na kuboresha uendeshaji wa shughuli za Serikali kwa kuimarisha utoaji wa huduma kwa umma kupitia mifumo jumuishi na salama ya Serikali kidijitali.” Mada hiyo imelenga kuhamasisha taasisi za umma kuimarisha matumizi ya teknolojia za kidijitali ili kuongeza ufanisi, usalama wa mifumo na ushirikishwaji wa wananchi katika huduma za kijamii.

Ushindi huo unaonesha juhudi na dhamira ya Halmashauri ya Wilaya ya Kyela katika kutumia mifumo ya TEHAMA kuboresha mawasiliano, uwazi na ushirikishwaji wa wananchi katika huduma mbalimbali za kijamii. Aidha, ni kielelezo cha namna halmashauri ya Kyela inavyoendana na mabadiliko ya teknolojia na kuunga mkono kikamilifu utekelezaji wa Serikali Mtandao nchini.

Matangazo

  • ORODHA YA ASASI ZILIZOPATA KIBALI CHA UANGALIZI WA UBORESHAJI WA DAFTARI MWAKA 2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • MHE. RIDHIWANI KIKWETE AIKABIDHI HALMASHAURI YA WILAYA YA KYELA TUZO YA MSHINDI WA TATU KITAIFA KWA MATUMIZI SAHIHI YA MIFUMO YA MAMLAKA YA SERIKALI MTANDAO (eGA)

    February 19, 2026
  • DC MANASE AZINDUA RASMI ZOEZI LA UGAWAJI WA KADI ZA BIMA YA AFYA KWA WOTE KWA KAYA ZISIZO NA UWEZO (ZINAZOHUDUMIWA NA MPANGO WA TASAF)

    February 09, 2026
  • BARAZA LA MADIWANI LAPOKEA KWA SHANGWE TAARIFA YA MHE. DC KUHUSU BIMA YA AFYA KWA WOTE NAKUAHIDI KWENDA KUTOA ELIMU KWA WANANCHI

    February 09, 2026
  • MILIONI 570 ZATOLEWA KWA VIKUNDI VYA VIJANA, WANAWAKE PAMOJA NA WATU WENYE ULEMAVU

    January 07, 2026
  • Angalia Zote

Video

Tume ya Uchaguzi
Video Zingine

Viungo Vya Haraka

  • Mbeya Region Website

Viunganishi Linganifu

  • Public Service Management
  • President's Office Regional Administration & Local Government - PORALG
  • Public Service Recruitment Secretariat - (PSRS)
  • KYELA DISTRICT
  • KYELA DISTRICT COUNCIL

Idadi ya wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

wasiliana nasi

    Bomani Street

    Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela

    Simu ya Mezani: 025-2540035/7

    Simu ya Mkononi: 0713655466

    Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa