Mheshimiwa Absalom M. Mwankemwa, Amefariki dunia siku ya jumamosi tarehe 26/10//2019, umauti huo umemkuta akiwa hospitali huko mkoani Dodoma alipokuwa akipatiwa matibabu.
Aidha mazishi yamefanyika leo tarehe 30/10/2019, Huko kijiji cha Lugombo Kata ya Mwaya wilayani Kyela.
Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina la Bwana libarikiwe, apumzike kwa amani. Amin.
Bomani Street
Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela
Simu ya Mezani: 025-2540035/7
Simu ya Mkononi: 0713655466
Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa