• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kyela District Council
Kyela District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Fedha
      • Huduma za Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Biashara na Viwanda
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi
      • TEHAMA
  • Fursa Za uwekezaji
    • Vivutio vya Utali
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, uongozi na mipango
      • Ukimwi
      • Uchumi, ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
      • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamirika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Hatua
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Mheshimiwa Mkuu Wilaya Awafikia Wananchi Kusiliza Na Kutatua Kero Za Wananchi

Imewekwa Kwenye: September 10th, 2024


Mkuu wa wilaya ya Kyela Mhe. Josephine Manase amefanya ziara ya kusikiliza na kutatua  kero za wananchi wa kijiji cha Kabanga kata ya Katumbasongwe tarehe 09/09/2024.

Ziara hiyo imeambatana na kamati ya Ulinzi na Usalama ya wilaya, Mkurugenzi Mtendaji wa Halamshauri, Bi. Flora A. Luhala, Mwenyekiti wa Halmshauri ya wilaya Mhe. Katule G. Kingamkono, wataalam kutoka  taasisi mbalimbali pamoja na  wataalam kutoka ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji.

Akisikiliza kero mbalimbali kutoka kwa wananchi wa kijiji cha Kabanga ikiwemo suala la ujio wa nabii kwa ajili ya kufanya Ibada ya maombi katika kijiji chao, Mhe.Mkuu wa wilaya amesema"

Kwa mujibu wa taratibu na sheria ya nchi ya Tanzania viongozi wa dini wanapaswa kuwa na vibali maalum vitakavyowatambulisha  ili waweze kufanya huduma zao pasipo usumbufu, Pia amesisitiza wananchi hao kua na imani thabiti kupitia dini na madhehebu yao ili kujiepusha na utapeli wa kidini.

Aidha katika suala la mpasuko wa mto Songwe unaoleta usumbufu wakati wa mafuriko Mhe.Josephine Manase, amewaomba viongozi wa kata ya Kabanga, kutoa elimu na kuhamasisha wananchi  kupanda miti itakayosaidia kuzuia mafuriko ikiwemo upandaji wa magugu, matete na mianzi pia.

Vilevile amewaomba wananchi wa kijiji cha Kabanga, kulinda na kutunza vyanzo vya maji kwa kusitisha shughuli mbalimbali za kibinadamu  ikiwemo shughuli za kilimo katia vyanzo vya maji.

Sambamba na hilo Mhe. Mkuu wa wilaya, amewaomba wananchi kujiepusha na tabia ya uuzaji wa mazao shambani, pia amesisitiza  wakulima kuweka taratibu ya bei rasmi ya mazao ili kuepusha  tabia ya unyonyaji kwa wakulima.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Halmshauri ya wilaya ya Kyela Mhe .Katule G. Kingamkono, amewaomba wananchi kijiji cha Kabanga kutoa ushirikiano mzuri kwa viongozi wao katika suala la udhibiti  wa mpasuko katika mto Songwe, unaoleta uharibifu mkubwa wa mazingira wakati wa masika.

Matangazo

  • ORODHA YA ASASI ZILIZOPATA KIBALI CHA UANGALIZI WA UBORESHAJI WA DAFTARI MWAKA 2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • WAUGUZI WILAYANI KYELA WAADHIMISHA SIKU YA WAUGUZI DUNIANI KATIKA HOSPITALI YA MATEMA

    May 16, 2025
  • KAMATI YA UCHUMI, UJENZI NA MAZINGIRA YAFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO INAYOTEKELEZWA WILAYANI KYELA

    May 15, 2025
  • KAMATI YA SIASA MKOA YAPONGEZA UTEKELEZWAJI MZURI WA MIRADI YA MAENDELEO WILAYANI KYELA

    May 14, 2025
  • WALIMU WAKUU,WALIMU WA MANUNUZI, WAKUU WA SHULE,WATENDAJI WA KATA NA WA VIJIJI WAPIGWA MSASA MFUMO WA MANUNUZI (NEST)

    April 24, 2025
  • Angalia Zote

Video

Tume ya Uchaguzi
Video Zingine

Viungo Vya Haraka

  • Mbeya Region Website

Viunganishi Linganifu

  • Public Service Management
  • President's Office Regional Administration & Local Government - PORALG
  • Public Service Recruitment Secretariat - (PSRS)
  • KYELA DISTRICT
  • KYELA DISTRICT COUNCIL

Idadi ya wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

wasiliana nasi

    Bomani Street

    Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela

    Simu ya Mezani: 025-2540035/7

    Simu ya Mkononi: 0713655466

    Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa