Mkurugenzi wa Afya na lishe Dr. Ntuli Kapologwe ametembelea kituo cha Afya Ipinda na kupongeza jitihada zote za ujenzi zilizofanywa na kamati ya ujenzi pamoja na mchango wa Wananchi, Pamoja na ziara hiyo Mkurugenzi alitembelea Hospitali ya Wilaya ya Kyela na kufanya ukaguzi katika vitengo mbalimbali kikiwemo kitengo cha utoaji wa dawa. Kwa ujumla Mkurugenzi aliwaagiza watumishi kujituma katika kufanya kazi na kuhudumia vema wagonjwa wote wanafika hospitarini hapo.
Bomani Street
Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela
Simu ya Mezani: 025-2540035/7
Simu ya Mkononi: 0713655466
Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa