• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kyela District Council
Kyela District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Fedha
      • Huduma za Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Biashara na Viwanda
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi
      • TEHAMA
  • Fursa Za uwekezaji
    • Vivutio vya Utali
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, uongozi na mipango
      • Ukimwi
      • Uchumi, ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
      • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamirika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Hatua
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Mkuu Wa Wilaya Ya Kyela Awahamasisha Wananchi, Taasisi Kuweka Vibao Vya Anwani Za Makazi Katika Nyumba, Barabara Na Ofisi Zao

Imewekwa Kwenye: May 8th, 2022

Mkuu wa wilaya ya Kyela Mheshimiwa Ismail Mlawa akizindua zoezi la uwekaji wa vibao vya anwani za makazi katika nyumba, ofisi na barabara wilayani Kyela.

Mkuu wa wilaya ya Kyela Mheshimiwa Ismail Mlawa, amewahamasisha wananchi wa wilaya ya Kyela kushiriki katika kujitengenezea vibao vya namba zao za anuani za makazi.

Mheshimiwa Mkuu wa wilaya ameyazungumza hayo tarehe 07/05/2022, akiwa katika tukio la uwekaji wa kibao cha anwani ya makazi katika ofisi yake. Mheshimiwa Ismail Mlawa amefanya hivyo ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa zoezi la uwekaji wa vibao vya anwani za makazi katika nyumba na barabara hapa wilayani Kyela.

Mkuu wa wilaya ya Kyela akihamasisha wananchi uwekaji wa vibao vya anwani za makazi Kyela.

Aidha amewahamasisha wananchi kutengeneza vibao vya namba za nyumba zao, kwani vibao hivyo havihitaji gharama kubwa sana, ni kiasi kisichozidi shilingi elfu tatu( 3000 ) kwa kibao kimoja. Kwa upande wa taasisi, Mheshimiwa Mlawa ameziomba taasisi zote zilizopo hapa wilayani, kushiriki katika kuchangia utengenezaji wa vibao vya anwani za makazi katika barabara mbalimbali na katika ofisi zao, ili kuufanya mji wa Kyela kupendeza na kutambulika kwa anuani hizo za makazi.

Nae Mwenyekiti wa anwani za makazi wa wilaya ya Kyela, Ndugu Arnold Selestine Mzigo amesema, hadi sasa zoezi la utambulishaji wa majina ya barabara za mtaa pamoja na uandika wa namba katika makazi ya watu umekamilika.

Zoezi linaloendelea ni utoaji wa elimu wananchi wa wilaya ya Kyela, elimu inayohusu jinsi ya uandaaji na uwekaji wa vibao vya anwani za makazi katika barabara nyumba binafsi, pamoja na taasisi mbalimbali.

Matangazo

  • ORODHA YA ASASI ZILIZOPATA KIBALI CHA UANGALIZI WA UBORESHAJI WA DAFTARI MWAKA 2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • WAUGUZI WILAYANI KYELA WAADHIMISHA SIKU YA WAUGUZI DUNIANI KATIKA HOSPITALI YA MATEMA

    May 16, 2025
  • KAMATI YA UCHUMI, UJENZI NA MAZINGIRA YAFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO INAYOTEKELEZWA WILAYANI KYELA

    May 15, 2025
  • KAMATI YA SIASA MKOA YAPONGEZA UTEKELEZWAJI MZURI WA MIRADI YA MAENDELEO WILAYANI KYELA

    May 14, 2025
  • WALIMU WAKUU,WALIMU WA MANUNUZI, WAKUU WA SHULE,WATENDAJI WA KATA NA WA VIJIJI WAPIGWA MSASA MFUMO WA MANUNUZI (NEST)

    April 24, 2025
  • Angalia Zote

Video

Tume ya Uchaguzi
Video Zingine

Viungo Vya Haraka

  • Mbeya Region Website

Viunganishi Linganifu

  • Public Service Management
  • President's Office Regional Administration & Local Government - PORALG
  • Public Service Recruitment Secretariat - (PSRS)
  • KYELA DISTRICT
  • KYELA DISTRICT COUNCIL

Idadi ya wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

wasiliana nasi

    Bomani Street

    Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela

    Simu ya Mezani: 025-2540035/7

    Simu ya Mkononi: 0713655466

    Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa