• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kyela District Council
Kyela District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Fedha
      • Huduma za Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Biashara na Viwanda
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi
      • TEHAMA
  • Fursa Za uwekezaji
    • Vivutio vya Utali
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, uongozi na mipango
      • Ukimwi
      • Uchumi, ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
      • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamirika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Hatua
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Mkuu Wa Wilaya Ya Kyela Azindua Kampeni Ya Chanjo Ya Polio

Imewekwa Kwenye: September 21st, 2023



Mkuu wa wilaya ya Kyela Mhe. Josephine Manase akimpa mtoto chanjo ya Polio katika zoezi la ufunguzi wa kampeni ya chanjo katika eneo la kitongoji cha Roma wilayani Kyela.

Mkuu wa wilaya ya Kyela Mheshimiwa Josephine Manase  tarehe 21/09/2023 amezindua kampeni ya utoaji wa chanjo ya Polio, zoezi limefanyika katika kata ya Mbugani kitongoji cha Roma.

Zoezi limehudhuriwa na Mbunge wa jimbo la Kyela Mhe. Ally Mlaghila Jumbe, Wawakilishi kutoka wizara ya Afya na Mkoa, Katibu tawala wa wilaya Ndugu. Sabrina H. Ruhwey, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Kyela Ndugu Frolah A. Luhala, Mkuu wa Idara ya Afya, Ustawi wa jamii na Lishe wa wilaya Dr. Saumu Kumbisaga pamoja na timu za utoaji wa chanjo dhidi ya ugonjwa wa Polio hapa wilayani.

Akizungumza wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya chanjo, Mkuu wa wilaya ya Kyela Mhe. Josephine Manase amesema;

Lengo la Serikali la kutoa chanjo dhidi ya ugonjwa wa polio, ni kumkinga mtoto dhidi ya ugonjwa hatari wa Polio, ugonjwa ambao hauna dawa.

Amesema kampeni inawahusu watoto wote walio chini ya miaka 8, ili kuwakinga na maambukizi ya ugonjwa wa Polio ambao ukimpata mtoto anaweza akapata ulemavu wa kudumu au unaweza kumsababishia kifo.

Mbunge wa jimbo la Kyela Mhe. Ally Mlaghila Jumbe akimpa mtoto chanjo ya Polio katika uzinduzi wa kampeni ya chanjo nyumba kwa nyumba inayoanza tarehe 21-24/09/2023.

Aidha amewataka wazazi, walezi kuwatoa watoto wao ili waweze kupata chanjo katika kampeni hizi zilizoanza tarehe 21-24/09/2023 ili kumitiza malengo ya idadi ya watoto ambao Serikali imeazimia kuwafikia katika wilaya ya Kyela.

Katibu Tawala wa wilaya ndugu Ndugu. Sabrina H. Ruhwey, akimpa chanjo mtoto katika zoezi la uzinduzi wa kampeni ya chanjo ya Polio.

Nae Mbunge wa jimbo la Kyela Mhe. Ally Mlaghila Jumbe ametoa pongezi za dhati kwa Mhe. Rais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwajali watoto wa Tanzania, kwani watoto ndio Taifa la baadae.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Kyela Ndugu, Frolah Luhala akiwa katika zoezi la uzinduzi wa kampeni wa chanjo dhidi ya Polio.

"Wazazi tukumbuke kuwa watoto hawa ndio Taifa la baadae hivyo tusipowapa chanjo leo, tunatengeneza Taifa dhaifu' amesema Mhe. Ally.

Mwisho amewata wazazi kujitokeza kuwachanja watoto wao kwani zoezi hili linafanyika kwa kufuata  nyumba kwa nyumba, hivyo uhakika wa kupata chanjo kwa kila mtoto upo, kinacho hitajika ni ushirikiano baina ya wazazi na walezi wa watoto waliopo majumbani mwetu.

Matangazo

  • ORODHA YA ASASI ZILIZOPATA KIBALI CHA UANGALIZI WA UBORESHAJI WA DAFTARI MWAKA 2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • WALIMU WAKUU,WALIMU WA MANUNUZI, WAKUU WA SHULE,WATENDAJI WA KATA NA WA VIJIJI WAPIGWA MSASA MFUMO WA MANUNUZI (NEST)

    April 24, 2025
  • DED KYELA AFANYA KIKAO NA WATENDAJI KATA CHA TATHMINI YA UTEKELEZAJI WA MKATABA WA UTENDAJI KAZI NA USIMAMIZI WA SHUGHULI ZA MAJI NA USAFI WA MAZINGIRA

    April 10, 2025
  • DC KYELA AWASILISHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM KUANZIA JULAI HADI DESEMBA 2024

    March 29, 2025
  • KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YAPONGEZA USIMAMIZI MZURI WA MRADI WA JENGO LA MAMA NA MTOTO KATIKA HOSPITALI YA WILAYA YA KYELA

    March 20, 2025
  • Angalia Zote

Video

Tume ya Uchaguzi
Video Zingine

Viungo Vya Haraka

  • Mbeya Region Website

Viunganishi Linganifu

  • Public Service Management
  • President's Office Regional Administration & Local Government - PORALG
  • Public Service Recruitment Secretariat - (PSRS)
  • KYELA DISTRICT
  • KYELA DISTRICT COUNCIL

Idadi ya wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

wasiliana nasi

    Bomani Street

    Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela

    Simu ya Mezani: 025-2540035/7

    Simu ya Mkononi: 0713655466

    Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa