• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kyela District Council
Kyela District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Fedha
      • Huduma za Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Biashara na Viwanda
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi
      • TEHAMA
  • Fursa Za uwekezaji
    • Vivutio vya Utali
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, uongozi na mipango
      • Ukimwi
      • Uchumi, ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
      • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamirika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Hatua
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Mkuu Wa Wilaya Ya Kyela Mhe. Josephine Manase Azindua Zoezi La Ugawaji Wa Vitambulisho Vya Uraia Wilayani Kyela

Imewekwa Kwenye: December 8th, 2023

Mkuu wa wilaya ya Kyela (wa pili kutoka kulia) akionyesha kitambulisho cha uraia wakati wa kuzindua zoezi la ugawaji wa vitambulisho vya Uraia wilayani Kyela.

Mkuu wa wilaya ya Kyela Mhe. Josephine Manase amezindua rasmi zoezi la Ugawaji wa vitambulisho takribani 45,037 vya Uraia wilayani Kyela, zoezi limefanyika katika kata ya Mbugani tarehe 06/12/2023.

Aidha Mhe. Manase amewataka wananchi kutoa ushirikiano katika kulinda amani kwa kutoa taarifa kwenye mamlaka husika kwa watu wenye mashaka nao juu ya Uraia wao, tukizingatiwa kuwa wilaya ya Kyela ipo mpakani.

Hata hivyo Mhe. Manase amewataka wananchi wa wilaya ya Kyela, kuvitunza vitambulisho hivyo kwa gharama yeyote kwani vina mchango mkubwa katika maisha ya Watanzania.

Vilevile Mhe. Manase amewaomba wakulima wote ambao hawajasajiliwa katika mfumo wa kupata mbolea za ruzuku, wakajisajili kwani vitambulisho vya Uraia sasa vimepatikana, Shukrani kwa  Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dr. Samia Suluhu Hassan, ambae amewarahisishia wakulima kwa kupunguza bei ya mbolea ya ruzuku kwa lengo la kumsaidia mkulima.

Pamoja na hayo Mhe. Manase amewaahidi wakina Mama wote wilaya ya Kyela, kuwa jengo la mama na mtoto linalojengwa katika hospitali ya wilaya litakamilika kwani Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshatoa pesa takribani Million 800 kwa lengo la kumalizia jengo hilo ili mara moja lianze kutumika.

Mhe. Manase amehitimisha kwa kuwataka wananchi kuwa wazalendo na  kuwaunga mkono viongozi wao katika mambo yote yanayo husu maendeleo ya wilaya.

Matangazo

  • ORODHA YA ASASI ZILIZOPATA KIBALI CHA UANGALIZI WA UBORESHAJI WA DAFTARI MWAKA 2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • WALIMU WAKUU,WALIMU WA MANUNUZI, WAKUU WA SHULE,WATENDAJI WA KATA NA WA VIJIJI WAPIGWA MSASA MFUMO WA MANUNUZI (NEST)

    April 24, 2025
  • DED KYELA AFANYA KIKAO NA WATENDAJI KATA CHA TATHMINI YA UTEKELEZAJI WA MKATABA WA UTENDAJI KAZI NA USIMAMIZI WA SHUGHULI ZA MAJI NA USAFI WA MAZINGIRA

    April 10, 2025
  • DC KYELA AWASILISHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM KUANZIA JULAI HADI DESEMBA 2024

    March 29, 2025
  • KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YAPONGEZA USIMAMIZI MZURI WA MRADI WA JENGO LA MAMA NA MTOTO KATIKA HOSPITALI YA WILAYA YA KYELA

    March 20, 2025
  • Angalia Zote

Video

Tume ya Uchaguzi
Video Zingine

Viungo Vya Haraka

  • Mbeya Region Website

Viunganishi Linganifu

  • Public Service Management
  • President's Office Regional Administration & Local Government - PORALG
  • Public Service Recruitment Secretariat - (PSRS)
  • KYELA DISTRICT
  • KYELA DISTRICT COUNCIL

Idadi ya wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

wasiliana nasi

    Bomani Street

    Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela

    Simu ya Mezani: 025-2540035/7

    Simu ya Mkononi: 0713655466

    Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa