Mkuu wa wilaya ya Kyela Mheshimiwa Ismail Mlawa akiendelea kutoa elimu ya COVID19 Kwa watumishi. Elimu hii inatolewa sasa kupitia watumishi wa Afya, ili kuwahamasisha watumishi wengine kuchanja pamoja na wananchi.
Bomani Street
Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela
Simu ya Mezani: 025-2540035/7
Simu ya Mkononi: 0713655466
Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa