• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kyela District Council
Kyela District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Fedha
      • Huduma za Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Biashara na Viwanda
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi
      • TEHAMA
  • Fursa Za uwekezaji
    • Vivutio vya Utali
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, uongozi na mipango
      • Ukimwi
      • Uchumi, ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
      • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamirika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Hatua
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Mwenyekiti Wa Halmashauri ya Wilaya Ya Kyela Awahamasisha Wananchi Wa Kata Ya Ipyana Kujenga Shule Ya Sekondari

Imewekwa Kwenye: November 18th, 2021

 Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Kyela, Mheshimiwa Katule G. Kingamkono akiongea na wananchi wa kata ya Ipyana.

 Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Kyela Mheshimiwa Katule G. Kingamkono amefanya mkutano wa hadhara katika kata ya Ipyana iliyopo wilayani Kyela, tarehe 18/11/2021 na kuwahamasisha wananchi wa kata hiyo kuanza ujenzi wa shule ya sekondali ya ipyana.

Akizungumza na wananchi hao waliojawa na furaha kubwa ya kumsikiliza kiongozi huyo, amesema, kata ya Ipyana itajengwa na wana Ipyana wenyewe, amewataka wananchi hao kuwa na wivu wa maendeleo kwani kila kata hapa wilayani Kyela inakazana namiradi ya maendeleo. Amewataka wananchi hao kuacha malumbano na kuungana ili kuleta maendeleo yenye tija.

Wakiongea kwa furaha kubwa wananchi hao walikubaliana kuondoa tofauti zao na kuahidi kuanza ujenzi huo tarehe 15/12/2021 na kuchangia fedha ili kuanzisha ujenzi wa shule hiyo, huku Mbunge wa jimbo la Kyela Mheshimiwa Ally J. Kinanase akiahidi kuchangia mifuko 100 ya saruji.

Mheshimiwa Katule G. Kingamkono akikagua mipaka ya maeneo ambapo shule mpya ya Ipyana Sekondari inatarajiwa kujengwa kuanzia tarehe 15/12/2021.

Pamoja na hayo Mheshimiwa Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Kyela aliweza kuwatembelea wananchi wa kitongoji cha Mbondela, kilichopo kata ya Ikilo, na kuwatia moyo juu ya kuwaondolea adha ya makaravati ambayo ni changamoto kwa barabara nyingi katika kitongoji hicho hasa wakati wa masika.


Baadhi ya akina bibi wa kitongoji cha Mbondela kata ya Ikolo wakipota kushukuru mbele ya Mheshimiwa Katule G. Kingamkono Mwenyekiti wa Halmashauri, mara tu baada ya kuwahakikishia kuondoa adha ya baadhi ya makaravati sumbufu.

Moja kati ya madaraja sumbufu katika kitongoji cha Mbondera kata ya Ikolo ambapo Mheshimiwa Mwenyekiti wa Halmashauri amechangia shilingi 50,000/= kwa ukatabati wa mda.

Matangazo

  • ORODHA YA ASASI ZILIZOPATA KIBALI CHA UANGALIZI WA UBORESHAJI WA DAFTARI MWAKA 2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • BIDHAA FEKI ZILIZOINGIA KWA NJIA HARAMU ZATEKETEZWA KWA MOTO

    July 01, 2025
  • KYELA YAFANIKISHA UNUNUZI WA GARI JIPYA AINA YA TOYOTA HILUX KUPITIA MAPATO YA NDANI KWA TSH. MILLIONI 149.1

    June 30, 2025
  • KYELA YAFANIKISHA UNUNUZI WA GARI JIPYA AINA YA TOYOTA HILUX KUPITIA MAPATO YA NDANI KWA TSH. MILLIONI 149.1

    June 30, 2025
  • KYELA YAFANIKISHA UNUNUZI WA GARI JIPYA AINA YA TOYOTA HILUX KUPITIA MAPATO YA NDANI KWA TSH. MILLIONI 149.1

    June 30, 2025
  • Angalia Zote

Video

Tume ya Uchaguzi
Video Zingine

Viungo Vya Haraka

  • Mbeya Region Website

Viunganishi Linganifu

  • Public Service Management
  • President's Office Regional Administration & Local Government - PORALG
  • Public Service Recruitment Secretariat - (PSRS)
  • KYELA DISTRICT
  • KYELA DISTRICT COUNCIL

Idadi ya wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

wasiliana nasi

    Bomani Street

    Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela

    Simu ya Mezani: 025-2540035/7

    Simu ya Mkononi: 0713655466

    Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa