• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kyela District Council
Kyela District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Fedha
      • Huduma za Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Biashara na Viwanda
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi
      • TEHAMA
  • Fursa Za uwekezaji
    • Vivutio vya Utali
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, uongozi na mipango
      • Ukimwi
      • Uchumi, ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
      • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamirika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Hatua
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Nitatoa Zawadi Kwa Kata Ya Kwanza Na Mtenda Kazi Wa Kwanza Kumaliza Kazi Ya Anwani Ya Makazi Kwa Maeneo Mliyopangiwa-Mhe. Katule Kingamkono

Imewekwa Kwenye: March 13th, 2022

Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Kyela Mheshimiwa Katule G.Kingamkono akiwa anazungumza na watenda kazi ya anwani ya makazi.

Haya yamezungumzwa na mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Kyela, Mhe. Katule G. Kingamkono alipokuwa akifunga mafunzo ya watenda kazi ya anwani ya makazi kwa kata za mamlaka ya Mji mdogo Kyela, tarehe 13/03/2022 ndani ya ukumbi mkubwa wa halmashauri ya wilaya ya Kyela.

Watenda Kazi ya anwani ya makazi wakiwa wanamsikiliza Mwenyekiti wa halmashauri, wakati wa kufunga mafunzo ya anwani za makazi kwa kata 14 za mamlaka ya mji mdogo Kyela.

Akifunga mafunzo hayo Mheshimiwa Katule amesema yupo tayari kutoa zawadi ambayo hakuitaja kwa kata itayokuwa ya kwanza kumaliza zoezi hili, ikiwa ni pamoja na mtenda kazi wa kwanza kumaliza kazi yake aliyopangiwa.

Aliongeza kwa kusema, anayafanya haya ili kuwatia moyo na kuongeza kasi ya kazi. Pamoja na hayo alimtaka Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri, kumuondoa mtendakazi yeyote atakaeonekana kutoendana na kasi ya kazi tunayoitaka kama wilaya.

Nae Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Kyela ndugu Ezekiel Magehema alisema, kwa sasa tumeajiri watenda kazi 100, watakaofanya kazi katika kata 14 za mamlaka ya mji mdogo Kyela, na baadae wataajiriwa wengine 200 kwa ukamilishaji wa kazi kwa wilaya nzima.

Matangazo

  • ORODHA YA ASASI ZILIZOPATA KIBALI CHA UANGALIZI WA UBORESHAJI WA DAFTARI MWAKA 2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • WATAALAM WA AFYA KUTOKA MALAWI WAFANYA KIKAO NA WATAALAM WA AFYA KUTOKA KYELA KUJADILI NAMNA YA KUPAMBANA NA MAGONJWA YA MLIPUKO

    July 02, 2025
  • BIDHAA FEKI ZILIZOINGIA KWA NJIA HARAMU ZATEKETEZWA KWA MOTO

    July 01, 2025
  • KYELA YAFANIKISHA UNUNUZI WA GARI JIPYA AINA YA TOYOTA HILUX KUPITIA MAPATO YA NDANI KWA TSH. MILLIONI 149.1

    June 30, 2025
  • SERIKALI YAWAPUNGUZIA WANANCHI ADHA YA ELIMU KWA KUJENGA SHULE KARIBU YAO

    June 27, 2025
  • Angalia Zote

Video

Tume ya Uchaguzi
Video Zingine

Viungo Vya Haraka

  • Mbeya Region Website

Viunganishi Linganifu

  • Public Service Management
  • President's Office Regional Administration & Local Government - PORALG
  • Public Service Recruitment Secretariat - (PSRS)
  • KYELA DISTRICT
  • KYELA DISTRICT COUNCIL

Idadi ya wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

wasiliana nasi

    Bomani Street

    Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela

    Simu ya Mezani: 025-2540035/7

    Simu ya Mkononi: 0713655466

    Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa