• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kyela District Council
Kyela District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Fedha
      • Huduma za Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Biashara na Viwanda
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi
      • TEHAMA
  • Fursa Za uwekezaji
    • Vivutio vya Utali
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, uongozi na mipango
      • Ukimwi
      • Uchumi, ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
      • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamirika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Hatua
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Serikali Hushirikiana Na Wadau Ili Kukamilisha Miradi Ya Maendeleo-Francis Mwaipopo

Imewekwa Kwenye: September 24th, 2020

Haya yamezungumzwa na kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Kyela Ndugu Francis Mwaipopo leo tarehe 24/09/2020, alipokuwa akipokea vifaa vya ujenzi kwa ajiri ya ukarabati wa chumba cha upasuaji(Theater) katika hospital ya wilaya ya Kyela. 

Amesema Serikali ya awamu ya tano haijawatenga wadau wa sekta binafsi katika kukamilisha ujenzi wa miradi ya maendeleo, Serikali hii inawaamini na kuthamini michango mbalimbali itolewayo na wadau, kwani michango yao hufanikisha ukamilishaji wa maendeleo katika nchi yetu.

Hivyo aliwapongeza wafanyabiashara wa Kyela waliungana na kuchangia vifaa vya ujenzi vyenye thamani ya shilingi milioni 1,300,000/=, na aliwataka wananchi pamoja na wafanyakazi kuiga mfano huu kwa maendeleo ya miundombinu ya afya kwa ujumla wake. 

Aidha ndungu Afron Gwaela Sanga alimaarufu kama Himili Park amesema, yeye na wafanyabiashara wenzake 3, yaana Sumba Kyando, Bariki Sanga na Sawei wameguswa baada ya kusikia kuwa, chumba cha upasuaji cha hospital ya wilaya ya Kyela kinaihitaji ukarabati. Hivyo wakaamua kuungana na kutoa mchango huo. 

Pia wamewaomba wananchi, wafanyakazi pamoja na wafanyabiashara wengine, watakaoguswa na jambo hili nao wachangie kwani hospitali hii ni ya wote na wala sio ya manesi au madaktari tu. 

Mwisho Kaimu Mganga Mkuu wa hospitali ya wilaya ya Kyela ndugu Benson Kuya  aliwashukuru wafanyabiashara hao, na kuwaomba wasichoke kutoa misaada kama hiyo pale wanakapohitajika kufanya hivyo kwa wakati mwingine tena, kwani ujenzi na ukarabati wa hospitali yetu bado unaendelea.

Habari Na Mawasiliano 

Kyela. 

Matangazo

  • ORODHA YA ASASI ZILIZOPATA KIBALI CHA UANGALIZI WA UBORESHAJI WA DAFTARI MWAKA 2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • WAUGUZI WILAYANI KYELA WAADHIMISHA SIKU YA WAUGUZI DUNIANI KATIKA HOSPITALI YA MATEMA

    May 16, 2025
  • KAMATI YA UCHUMI, UJENZI NA MAZINGIRA YAFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO INAYOTEKELEZWA WILAYANI KYELA

    May 15, 2025
  • KAMATI YA SIASA MKOA YAPONGEZA UTEKELEZWAJI MZURI WA MIRADI YA MAENDELEO WILAYANI KYELA

    May 14, 2025
  • WALIMU WAKUU,WALIMU WA MANUNUZI, WAKUU WA SHULE,WATENDAJI WA KATA NA WA VIJIJI WAPIGWA MSASA MFUMO WA MANUNUZI (NEST)

    April 24, 2025
  • Angalia Zote

Video

Tume ya Uchaguzi
Video Zingine

Viungo Vya Haraka

  • Mbeya Region Website

Viunganishi Linganifu

  • Public Service Management
  • President's Office Regional Administration & Local Government - PORALG
  • Public Service Recruitment Secretariat - (PSRS)
  • KYELA DISTRICT
  • KYELA DISTRICT COUNCIL

Idadi ya wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

wasiliana nasi

    Bomani Street

    Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela

    Simu ya Mezani: 025-2540035/7

    Simu ya Mkononi: 0713655466

    Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa