• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kyela District Council
Kyela District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Fedha
      • Huduma za Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Biashara na Viwanda
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi
      • TEHAMA
  • Fursa Za uwekezaji
    • Vivutio vya Utali
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, uongozi na mipango
      • Ukimwi
      • Uchumi, ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
      • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamirika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Hatua
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Tufanye Kazi Usiku Na Mchana Kukamilisha Zoezi La Anwani Za Makazi Kwa Wakati- John Jingu

Imewekwa Kwenye: May 18th, 2022

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu Na Bunge) Mhe. Dkt. John Jingu, ametembelea na kukagua zoezi la uandikaji wa anwani za makazi katika halmashauri ya wilaya ya Kyela tarehe 17/05/2022.

Akifanya ukaguzi huo, Mheshimiwa Jingu amewataka wananchi pamoja na wadau wote wa maendeleo kuto lala ili kuafanya kazi kwa jitihada kubwa, kwa lengo la kumaliza zoezi la uwekaji wa namba za anwani za makazi kwa wakati.

Amesema muarobaini wa kuhakikisha zoezi hili linakamilika kwa wakati ni pamoja na kuendekea kutoa elimu dhidi ya anwani za makazi ili wananchi wapate uelewa mzuri na kushiriki katika kuandika namba za anwani za makazi katika nyumba zao.

Aidha Mhe. Jingu amewataka viongozi wa wilaya ya kyela kuendela kutoa elimu ya faida ya zoezi hili ikiwemo urahisishaji wa shughuli za maendeleo nchini.

Matangazo

  • TUPATE TENA HUKU July 02, 2022
  • Nafasi Za Kazi May 26, 2022
  • Orodha Ya Majina Ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Na Kidato Cha Tano Na Vyuo Vya Kati 2020 June 17, 2020
  • Orodha Ya Majina Ya Walioteuliwa Kuwa Wasimamizi Na Makarani Waongozaji Katika Uchaguzi Mkuu October 28th 2020 October 19, 2020
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Kyela Yapongezwa Kwa Kupata Hati Safi

    June 17, 2022
  • Kijiji Cha Busoka Kata Ya Busale Chang'ara Wilayani Kyela

    June 10, 2022
  • Hundi Ya Mfano Ya Shilingi Milioni 150 Yakabidhiwa Kwa Makundi Ya Wanawake vijana Watu wenye Ulemavu Kyela

    June 06, 2022
  • Watafiti Wa Kilimo Biashara Kutoka Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam Watoa Matokeo Ya Utafiti Mafunzo Ya Ujasiriamali Kyela

    June 06, 2022
  • Angalia Zote

Video

Mkuu wa wilaya katika Balaza la Madiwani
Video Zingine

Viungo Vya Haraka

  • Mbeya Region Website

Viunganishi Linganifu

  • Public Service Management
  • President's Office Regional Administration & Local Government - PORALG
  • Public Service Recruitment Secretariat - (PSRS)
  • KYELA DISTRICT
  • KYELA DISTRICT COUNCIL

Idadi ya wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

wasiliana nasi

    Bomani Street

    Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela

    Simu ya Mezani: 025-2540035/7

    Simu ya Mkononi: 0756944794

    Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa