• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kyela District Council
Kyela District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Fedha
      • Huduma za Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Biashara na Viwanda
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi
      • TEHAMA
  • Fursa Za uwekezaji
    • Vivutio vya Utali
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, uongozi na mipango
      • Ukimwi
      • Uchumi, ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
      • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamirika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Hatua
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Tume Huru Ya Taifa Ya Uchaguzi Yakutana Na Maafisa Habari Wa Mikoa Na Halmashauri Zote Tanzania

Imewekwa Kwenye: June 15th, 2024

Mtaalamu wa TEHAMA, kutoka Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, akionyesha kwa vitendo jinsi mfumo wa kuboresha taarifa za mwananchi katika daftari la mpiga kura, zoezi lililofanyika leo tarehe 15/06/2024 katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani City jijini Dar es salaam.

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imekutana na kufanya kikao na Maafisa Mwasiliano wa Mikoa na wilaya zote Tanzani ili kupeana elimu juu ya uendeshaji wa zoezi la kuboresha taarifa katika daftari la mpiga kura.

Akizungumza wakati wa ufunguzi wa kikao, Mkurugenzi wa Tume Huru ya Uchaguzi Tanzania, Ndugu Ramadhani Kailima amesema;

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania, inawategemea sana Maafisa Habari katika kutoa elimu ya zoezi la uboreshaji wa taarifa katika daftari la mpiga kura, pia kutoa habari na kuwatangazia wananchi ili waweze kujua zoezi lote la uboreshaji wa daftari la mpiga kura.

Aidha amesema lengo la kukutana katika kikao hiki, ni pamoja na kujulishana mambo mbalimbali yanayohusu masuala ya uboreshaji wa daftari la mpiga kura.

Amesema tume itafanya uzinduzi wa daftari la mpiga kura tarehe 01/07/2024 katika mkoa wa Kigoma.

Na Waziri wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kasimu Majaliwa atakuwa Mgeni rasmi katika uzinduzi  huo.

Pamoja na hayo amesema, Tume imejipanga katika kutoa elimu kila eneo, kila kundi, ili kuhamasisha wananchi kujitokeza katika kufanya maboresho ya taarifa katika  daftari la mpiga kura.

Kauli Mbiu:

"KUJIANDISHA KUWA MPIGA KURA NI MSINGI WA UCHAGUZI BORA".

Matangazo

  • ORODHA YA ASASI ZILIZOPATA KIBALI CHA UANGALIZI WA UBORESHAJI WA DAFTARI MWAKA 2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • WALIMU WAKUU,WALIMU WA MANUNUZI, WAKUU WA SHULE,WATENDAJI WA KATA NA WA VIJIJI WAPIGWA MSASA MFUMO WA MANUNUZI (NEST)

    April 24, 2025
  • DED KYELA AFANYA KIKAO NA WATENDAJI KATA CHA TATHMINI YA UTEKELEZAJI WA MKATABA WA UTENDAJI KAZI NA USIMAMIZI WA SHUGHULI ZA MAJI NA USAFI WA MAZINGIRA

    April 10, 2025
  • DC KYELA AWASILISHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM KUANZIA JULAI HADI DESEMBA 2024

    March 29, 2025
  • KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YAPONGEZA USIMAMIZI MZURI WA MRADI WA JENGO LA MAMA NA MTOTO KATIKA HOSPITALI YA WILAYA YA KYELA

    March 20, 2025
  • Angalia Zote

Video

Tume ya Uchaguzi
Video Zingine

Viungo Vya Haraka

  • Mbeya Region Website

Viunganishi Linganifu

  • Public Service Management
  • President's Office Regional Administration & Local Government - PORALG
  • Public Service Recruitment Secretariat - (PSRS)
  • KYELA DISTRICT
  • KYELA DISTRICT COUNCIL

Idadi ya wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

wasiliana nasi

    Bomani Street

    Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela

    Simu ya Mezani: 025-2540035/7

    Simu ya Mkononi: 0713655466

    Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa