Ujenzi wa Green House wilayani Kyela, ni ujenzi unasimamiwa na Idara ya Kilimo chini ya kampuni ya Holly Green Agric Group Limited, inayoshughulika na kazi za Kilimo.
Ujenzi huu unafanyika hapa wilayani katika kata ya Kajunjumele, ukiwa na lengo la kutoa elimu ya kilimo chenye tija kwa vijana zaidi ya 100.
Aidha vijana wilayani hapa wameupokea vizuri mradi huu, na kusema kwamba elimu watakayoipata kupitia mradi huu, wataisambaza kwa wananchi wengi nchini Tanzania hasa kwa vijana wenzao ambao hawajapata fulsa ya kupata mafunzo haya.
Bomani Street
Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela
Simu ya Mezani: 025-2540035/7
Simu ya Mkononi: 0713655466
Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa