• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kyela District Council
Kyela District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Fedha
      • Huduma za Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Biashara na Viwanda
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi
      • TEHAMA
  • Fursa Za uwekezaji
    • Vivutio vya Utali
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, uongozi na mipango
      • Ukimwi
      • Uchumi, ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
      • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamirika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Hatua
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Vijana 185 Wahitimu Mafunzo Ya Mgambo Kyela

Imewekwa Kwenye: November 29th, 2020

Mkuu wa wilaya ya Kyela Mhe.Claudia U. Kitta(katikati)akiwa na viongozi wengine pamoja na vijana waliohitimu mafunzo ya mgambo katika picha ya pamoja tarehe 28/11/2020.

Vijana 185 kati ya vijana 208 waliojiunga na mafunzo ya mgambo, hapa wilayani Kyela wamehitimu mafunzo yao tarehe 28/11/2020 katika sherehe za ufangaji mafunzo zilizofanyika katika kata ya Mababu hapa wilayani Kyela, Ikiwa ni pamoja na wanafunzi 23 wameshindwa kuhitimu kwa sababu mbalimbali ikiwemo utoro. 

Akifunga mafunzo hayo yaliyoanza tarehe 20/07/2020 na kumalizika tarehe 28/11/2028, Mkuu wa wilaya ya Kyela Mhe. Claudia U. Kitta amewataka vijana hao kutumia elimu walioipata katika kujitafutia maisha bora, kwani msingi wa mafanikio duniani ni kufanya kazi kwa bidii na maarifa. 

Aidha amewataka vijana kuachana na visingizio kuwa hakuna ajira, wakati serikali imetengeza miundo mbinu wezeshi katika kufanya shughuli za kujiajiri. Amesema uwepo wa barabara za rami, meli za mizigo na abiria ni fulsa tosha ya vijana kujiajiri wenyewe, huku ajira za serikali zikiendelea kutolewa. 

Aidha amesema, Serikali haijawasahau vijana hata kidogo kwani imeagiza kila halmashauri nchini kutenga 10% ya mapato kwa makundi ya wanawake, walemavu na vijana, ambapo 4% ya asilimia hizo imetengwa kwa vijana. Cha kufanya ni vijana kujitambua na kujiunga katika vikundi na kupata mkopo huo. 

Mkuu wa wilaya alitoa pongezi kwa vijana waliomaliza mafunzo yao, kwani wakiwa katika mafunzo hayo, vijana hao waliweza kujifunza mambo mengi ikiwemo ukakamavu, kuepukana na vitendo vya rushwa, kutoa huduma ya kwanza mbinu za kivita pamoja na ujasiliamari.

Pia waliweza  kufanya kazi za kijamii ikiwemo kufanya usafi wa mazingira, kujitolea damu pamoja na kuhakikisha amani inapatikana katika kipindi chote cha uchaguzi.

Kwa upande wao wahitimu wa mafunzo ya mgambo, walisema katika mafunzo yao walipata changamoto ya mavazi, Na pia walimwomba mkuu wa wilaya kuwambuka pale zinapojitokeza kazi ili wao wawe mstari wa mbele kwani wapo tayari wakati wowote kwa ujenzi wa Taifa. 

Matangazo

  • ORODHA YA ASASI ZILIZOPATA KIBALI CHA UANGALIZI WA UBORESHAJI WA DAFTARI MWAKA 2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • WAUGUZI WILAYANI KYELA WAADHIMISHA SIKU YA WAUGUZI DUNIANI KATIKA HOSPITALI YA MATEMA

    May 16, 2025
  • KAMATI YA UCHUMI, UJENZI NA MAZINGIRA YAFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO INAYOTEKELEZWA WILAYANI KYELA

    May 15, 2025
  • KAMATI YA SIASA MKOA YAPONGEZA UTEKELEZWAJI MZURI WA MIRADI YA MAENDELEO WILAYANI KYELA

    May 14, 2025
  • WALIMU WAKUU,WALIMU WA MANUNUZI, WAKUU WA SHULE,WATENDAJI WA KATA NA WA VIJIJI WAPIGWA MSASA MFUMO WA MANUNUZI (NEST)

    April 24, 2025
  • Angalia Zote

Video

Tume ya Uchaguzi
Video Zingine

Viungo Vya Haraka

  • Mbeya Region Website

Viunganishi Linganifu

  • Public Service Management
  • President's Office Regional Administration & Local Government - PORALG
  • Public Service Recruitment Secretariat - (PSRS)
  • KYELA DISTRICT
  • KYELA DISTRICT COUNCIL

Idadi ya wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

wasiliana nasi

    Bomani Street

    Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela

    Simu ya Mezani: 025-2540035/7

    Simu ya Mkononi: 0713655466

    Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa