Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mbeya "MBEYA GIRLS" iliyojengwa katika kata ya Busale wilaya ya Kyela, ipo tayari kwa ajili ya kuwapokea wanafunzi Kimkoa na Kitaifa kwa ujumla wake.
Shule hii inagharama ya zaidi ya shilingi bilioni 3 za Kitanzania.
Shukrani na pongezi kwa serikali ya ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Samia Suluhu Hassan, kwa kusimamia na kuendelea kuboreha sekta ya elimu nchini.
Tupo tayari kuwapokea wanafunzi.
Bomani Street
Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela
Simu ya Mezani: 025-2540035/7
Simu ya Mkononi: 0713655466
Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa