• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kyela District Council
Kyela District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Fedha
      • Huduma za Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Biashara na Viwanda
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi
      • TEHAMA
  • Fursa Za uwekezaji
    • Vivutio vya Utali
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, uongozi na mipango
      • Ukimwi
      • Uchumi, ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
      • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamirika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Hatua
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Wananchi Kijiji Cha Ilopa Waponngezwa Kumaliza Mgogoro

Imewekwa Kwenye: July 16th, 2024

Mkuu wa wilaya ya Kyela Mhe.Josephine Manase amefanya ziara ya kusikiliza na kutatua kero mbalimbali zinazowakabili wananchi katika kata ya Ikama kijiji cha Ilopa  kilichopo wilaya ya Kyela tarehe 15/7/204.

Katika ziara hiyo Mhe.Mkuu wa wilaya ameambatana na Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri Bi. Florah Luhala, kamati ya Ulinzi na Usalama ya wilaya, Wakuu wa Idara na Vitengo pamoja na Wakuu wa taasisi mbalimbali za serikali.

Akizungumza na wananchi wa kijiji cha Ilopa Mhe. Mkuu wa wilaya, amewashukuru wananchi hao kwa kumaliza mgogoro  wa ardhi uliodumu kwa muda mrefu  kati ya kijiji cha Ilopa na Kyangala pia amesisitiza  kudumisha amani katika vijiji hivyo.

Akijibu kero mbalimbali, ikiwemo  suala umeme na maji Mhe. Mkuu wa wilaya amesema serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia  Suluhu Hassan inaendelea kutoa fedha kwaajili ya kuendeleza miradi hiyo.

Aidhaa katika suala la miundombinu, Mhe. Mkuu wa wilaya ameagiza wataalamu kutoka TARURA kutembelea maeneo  yanayoathiriwa na mafuriko hasa kipindi cha mvua, ikiwemo  kityeputyepu  kilichopo kijiji cha Ilondo kufanyiwa tathimini ili kuanza utaratibu wa kuboresha eneo hilo.

Vilevile Mhe. Mkuu wa wilaya amewapongeza wananchi wa Kijiji cha Ilopa, kwa kuomba kuanzisha kilimo cha umwagiliaji kupitia bwawa la kafunde  linalopatikana katika kijiji hicho na amewaahidi kuwaleta wataalam wa kilimo ili kujua usalama wake.

Pia amewataka wazazi wenye watoto wa kike  walio wanafunzi  kutimiza ndoto za watoto wao kwa kufuata sheria na taratibu zilizopangwa na serikali   kuweza kukomesha vitendo vya rushwa pindi watoto wao wanapopewa ujauzito wakiwa bado shuleni .

Kwa upande wake  Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri Bi.Flora Luhala amewashukuru wananchi kwa kuajili walimu wanaojotolea katika shule ya msingi Ilopa, kutokana changamoto ya uhaba wa walimu  uliopo katika shule hiyo.

Pia ameahidi kuongeza walimu  shuleni hapo mara baada ya ajira za serikali zitakapotoka.

Vilevile amewaomba wazazi wa kijiji cha Ilopa kuanzisha mchango wa chakula  shuleni ili wanafunzi waweze kupata huduma ya chakula  wanapokua shuleni.

Kwa upande wake Judith Masasi kutoka taasisi ya kuzuia kupambana na rushwa (TAKUKURU), amewaomba wananchi wa kijiji cha Ilopa  kufanya maaumuzi sahihi ya kuepukana na rushwa hasa kuelekea katika kipindi cha uchaguzi mdogo wa serikali za mitaa, ili waweze kupata viongozi  bora watakaoweza kuwaongoza.

Matangazo

  • ORODHA YA ASASI ZILIZOPATA KIBALI CHA UANGALIZI WA UBORESHAJI WA DAFTARI MWAKA 2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • WAUGUZI WILAYANI KYELA WAADHIMISHA SIKU YA WAUGUZI DUNIANI KATIKA HOSPITALI YA MATEMA

    May 16, 2025
  • KAMATI YA UCHUMI, UJENZI NA MAZINGIRA YAFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO INAYOTEKELEZWA WILAYANI KYELA

    May 15, 2025
  • KAMATI YA SIASA MKOA YAPONGEZA UTEKELEZWAJI MZURI WA MIRADI YA MAENDELEO WILAYANI KYELA

    May 14, 2025
  • WALIMU WAKUU,WALIMU WA MANUNUZI, WAKUU WA SHULE,WATENDAJI WA KATA NA WA VIJIJI WAPIGWA MSASA MFUMO WA MANUNUZI (NEST)

    April 24, 2025
  • Angalia Zote

Video

Tume ya Uchaguzi
Video Zingine

Viungo Vya Haraka

  • Mbeya Region Website

Viunganishi Linganifu

  • Public Service Management
  • President's Office Regional Administration & Local Government - PORALG
  • Public Service Recruitment Secretariat - (PSRS)
  • KYELA DISTRICT
  • KYELA DISTRICT COUNCIL

Idadi ya wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

wasiliana nasi

    Bomani Street

    Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela

    Simu ya Mezani: 025-2540035/7

    Simu ya Mkononi: 0713655466

    Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa