• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kyela District Council
Kyela District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Fedha
      • Huduma za Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Biashara na Viwanda
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi
      • TEHAMA
  • Fursa Za uwekezaji
    • Vivutio vya Utali
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, uongozi na mipango
      • Ukimwi
      • Uchumi, ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
      • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamirika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Hatua
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Wananchi Wa Kata Ya Talatala Wasikilizwa Na Kutatuliwa Kero Zao

Imewekwa Kwenye: July 13th, 2024


Mkuu wa wilaya ya Kyela Mhe. Josephine Manase ametembelea kata ya Talatala kijiji cha Ngolela tarehe 12/7/2024, ikiwa ni muendelezo wa ziara ya  kusikiliza na kutatua kero mbalimbali zinazowakabili wananchi wilaya ya Kyela.

Katika ziara yake Mhe. Josephine Manase, ameambatana na Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri Bi.Flora Luhala, Wakuu wa idara na Wakuu wa taasisi  mbalimbali za kiserikali.

Akiongea na wananchi wa kijiji cha Ngolelela Mhe. Josephine Manase, amewaomba wazazi kua na utaratibu wa kutoa mchango wa chakula kwa wanafunzi ili  waweze kupata huduma ya chakula wanapokua shuleni.

Akisikiliza kero mbalimbali ikiwa ni pamoja na kero ya vitendo vya ukatili kwa watoto wa kike, unaotokea  kutokana na uwepo wa pori katika kijiji hicho;

Mhe. Mkuu wa wilaya ya Kyela, amewataka viongozi kwa kushirikiana na wananchi kusafisha eneo  la pori hilo ili kulinda usalama kwa  watoto wa kike hasa wanapoenda na kutoka shule.

Aidha Mhe . Mkuu wa wilaya aliweza  kujibu na kutatua  baadhi ya kero zilizotajwa na wananchi ikiwemo kero ya umeme, miundombinu, na maji   kupitia taasisi husika,

Aidha katika suala la ukosefu wa ajira amewataka wananchi waliohitimu kada mbalimbali kujiunga kwenye mfumo wa ajira na kufanya kazi kwa kujitolea kulingana na kada zao ili kupata ujuzi zaidi. 

Aidha Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri Bi. Florah  Luhala ametoa maagizo kwa walimu wanaondelea kuchangisha michango wanafunzi pasipo makubaliano rasmi baina yao na wazazi, kukomesha maramoja  michango hiyo ikiwa ni  kuendeleza sera ya elimu bure.

Pia kuelekea katika uchaguzi wa serikali za mitaa Bi. Flora Luhala  amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi  kuhakiki taarifa zao katika daftari la kudumu la mpiga kura pindi itakapoanza zoezi hilo.

Matangazo

  • ORODHA YA ASASI ZILIZOPATA KIBALI CHA UANGALIZI WA UBORESHAJI WA DAFTARI MWAKA 2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • WAUGUZI WILAYANI KYELA WAADHIMISHA SIKU YA WAUGUZI DUNIANI KATIKA HOSPITALI YA MATEMA

    May 16, 2025
  • KAMATI YA UCHUMI, UJENZI NA MAZINGIRA YAFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO INAYOTEKELEZWA WILAYANI KYELA

    May 15, 2025
  • KAMATI YA SIASA MKOA YAPONGEZA UTEKELEZWAJI MZURI WA MIRADI YA MAENDELEO WILAYANI KYELA

    May 14, 2025
  • WALIMU WAKUU,WALIMU WA MANUNUZI, WAKUU WA SHULE,WATENDAJI WA KATA NA WA VIJIJI WAPIGWA MSASA MFUMO WA MANUNUZI (NEST)

    April 24, 2025
  • Angalia Zote

Video

Tume ya Uchaguzi
Video Zingine

Viungo Vya Haraka

  • Mbeya Region Website

Viunganishi Linganifu

  • Public Service Management
  • President's Office Regional Administration & Local Government - PORALG
  • Public Service Recruitment Secretariat - (PSRS)
  • KYELA DISTRICT
  • KYELA DISTRICT COUNCIL

Idadi ya wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

wasiliana nasi

    Bomani Street

    Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela

    Simu ya Mezani: 025-2540035/7

    Simu ya Mkononi: 0713655466

    Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa