• Malalamiko |
    • wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kyela District Council
Kyela District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Afya
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Fedha
      • Huduma za Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • mifugo na Uvuvi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Ukaguzi wa ndani
      • Biashara na Viwanda
      • Kitengo cha Sheria
      • Kitengo cha Manunuzi
      • TEHAMA
  • Fursa Za uwekezaji
    • Vivutio vya Utali
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, uongozi na mipango
      • Ukimwi
      • Uchumi, ujenzi na Mazingira
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
      • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamirika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Hatua
    • Ripoti
    • Sera
    • Fomu za Maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Wataalamu Waaswa Kutembelea Miradi Inayoanzishwa na Wananchi, Serikali Kyela

Imewekwa Kwenye: August 23rd, 2018


Waheshimiwa Madiwani wa wilaya ya Kyela wamefanya ziara ya kutembelea miradi ya maendeleo kwa muda wa siku tatu, kwa mwezi huu wa nane.

Ziara hizo zimefanyika kwa kupitia kamati za kudumu, kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango, kamati ya Elimu, Afya na Maji pia kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira.

Aidha waheshimiwa madiwani wametembelea miradi mingi kama, mradi wa ujenzi wa ofisi mbili za walimu, vyoo viwili vya wasichana na wavulana katika shule ya sekondari Ipande, mradi wa ujenzi wa zahanati Kasala, mradi wa uboreshaji wa huduma ya maji Kyela mjini.

Miradi mingine iliyotembelewa ni pamoja na mradi wa ujenzi wa stendi ya mabasi Lubele, ujenzi wa madarasa mawili katika shule ya sekondari lkimba, mradi wa kizuia mmomonyoko katika kingo za mto Mbaka, pamoja na mradi wa kisima cha maji Ikolo.

Katika ziara hizo waheshimiwa Madiwani wamegundua changamoto nyingi zinazoikumba miradi ya maendeleo wilayani Kyela.

Aidha wamesema changamoto za miradi mingi ni kutelekezwa na wataalamu kutoka halmashauri,  kutokuwa na taarifa zilizo makini na sahihi kwa miradi husika.

Wakiongozwa na mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Kyela Mhe. Hunter Mwakifuna, madiwani wamewataka wataalamu kuacha kukaa ofisini na badala yake watoke waende kutembelea miradi.

Kwani kwa kufanya hivyo, miradi inayoanzishwa na serikali na wananchi inaweza kuisha kwa wakati na ubora unaotakiwa, na kuwafanya wananchi kunufaika na miradi hiyo. 

Mwisho wananchi waliwapongeza waheshimiwa madiwani kwa kufanya ukaguzi wa miradi katika vijiji vyao, na pia waliwaombea heri viongozi wote ambao wanatoka na kwenda kuwasikiliza wananchi.

Waheshimiwa madiwani wakijadiliana na wananchi, walipokuwa katika ziara ya ukaguzi wa mradi wa ujenzi wa stendi ya mabasi lubele Kyela.

hapa ndipo mradi wa kujenga kingo za mto Mbaka unapotakiwa kufanyika.


mmomonyoko wa kingo za mto Mbaka zinavyozidi kiathili mazingira.

Imetolewa na,

Kitengo cha Habari na 

Mawasiliano

KYELA. 

Matangazo

  • ORODHA YA ASASI ZILIZOPATA KIBALI CHA UANGALIZI WA UBORESHAJI WA DAFTARI MWAKA 2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • TANGAZO LA USAILI September 27, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • WAUGUZI WILAYANI KYELA WAADHIMISHA SIKU YA WAUGUZI DUNIANI KATIKA HOSPITALI YA MATEMA

    May 16, 2025
  • KAMATI YA UCHUMI, UJENZI NA MAZINGIRA YAFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO INAYOTEKELEZWA WILAYANI KYELA

    May 15, 2025
  • KAMATI YA SIASA MKOA YAPONGEZA UTEKELEZWAJI MZURI WA MIRADI YA MAENDELEO WILAYANI KYELA

    May 14, 2025
  • WALIMU WAKUU,WALIMU WA MANUNUZI, WAKUU WA SHULE,WATENDAJI WA KATA NA WA VIJIJI WAPIGWA MSASA MFUMO WA MANUNUZI (NEST)

    April 24, 2025
  • Angalia Zote

Video

Tume ya Uchaguzi
Video Zingine

Viungo Vya Haraka

  • Mbeya Region Website

Viunganishi Linganifu

  • Public Service Management
  • President's Office Regional Administration & Local Government - PORALG
  • Public Service Recruitment Secretariat - (PSRS)
  • KYELA DISTRICT
  • KYELA DISTRICT COUNCIL

Idadi ya wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

wasiliana nasi

    Bomani Street

    Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela

    Simu ya Mezani: 025-2540035/7

    Simu ya Mkononi: 0713655466

    Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa