Ilikuwa ni ziara ya Waheshimiwa Madiwani wa kamati ya Fedha,maji na Mipango iliyofanyika katika kata ya Ipinda kijiji cha Makwale katika msimu huu wa ukaguzi wa miradi mbalimbali ambapo katika kijiji cha Makwale kuna mradi wa chanzo cha maji unaitwa New Matema, na endapo chanzo hicho cha maji kikitumiwa kina uwezo wa kusaidia vijiji vitano katika kata ya Ipinda.
Bomani Street
Sanduku la Posta: P. O box 320 Kyela
Simu ya Mezani: 025-2540035/7
Simu ya Mkononi: 0713655466
Barua pepe: ded@kyeladc.go.tz
Haki miliki @2017 Halmashauri ya wilaya ya Kyela. Haki zote zimehifadhiwa