Imewekwa Kwenye: July 4th, 2024
Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Kyela Mhe. Katule Kingamkono ameutambulisha mradi mpya wa Serikali wa ujenzi wa shule ya Sekondari yenye Gharama ya Tsh. Milioni 583 katika kata ya Muungano ...
Imewekwa Kwenye: June 29th, 2024
Mkuu wa wilaya ya Kyela Mhe.Josephine Manase, amefanya kikao cha waganga wa tiba asili, jadi na vyombo vya habari, katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri tarehe 28/6/2024.
Akizungumza...
Imewekwa Kwenye: June 28th, 2024
Mkuu wa wilaya ya Kyela Mhe. Josephine Manase amefanya ziara ya kusikiliza kero za wananchi kata ya Ipyana na kata ya Ikolo tarehe 27/06/2024.
Katika ziara yake Mhe. Mkuu wa wilaya ameamb...