Imewekwa Kwenye: February 9th, 2026
Mkuu wa Wilaya ya Kyela, Mhe. Josephine Manase, tarehe 09 Februari 2026 amezindua rasmi zoezi la ugawaji wa Kadi za Bima ya Afya kwa Wote kwa kaya maskini katika hafla iliyofanyika Kata ya Bondeni, wi...
Imewekwa Kwenye: February 9th, 2026
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela Mkoani Mbeya Mhe.Tobiath Mwamkonda ameongoza mkutano wa Baraza tarehe 9.2.2026 katika ukumbi wa mikutano
Akizungumza kwenye mkutano huo Mhe.Mwenyekiti a...
Imewekwa Kwenye: January 7th, 2026
Mbunge wa Jimbo la Kyela Mhe. Baraka Ulimboka Mwamengo amekabidhi hundi ya mfano ya Tsh. 570,400,000/= kwa vikundi 68 vilivyonufaika na mikopo ya 10% inaoyotolewa kwa Wanawake,Vijana ,na watu wenye ul...